Hahaha we nakujua ugomvi si wako wauvalia kibwebwe lol,relax mamyYani simalizi hata kukushangaa sijui mpare wewe, una roho mbaya sana serious hata usingekuja kuandika hiki ulichoandika hivi hujioni mnafiki?
Pyeee acha nikuteme mie
Naona huyu mleta mada alipata kazi lwa njia zisizo rasmi ingawa hataki ku-disclose.Umekuja kujishebedua hapa, ulikua katika nafasi ya kusaidia, umeombwa kusaidia hujafanya hivo sasa kinachokufanya ujifanye unaumia unaumia nini, nunua wyne unywe....
Ungeandika kwa ajili ya friend ungemwandikia barua
Katika haya mambo ya kazi kushikana mkono kupo, memo, kutoa pesa, kutoa papuchi, yote yawezekana.Naona huyu mleta mada alipata kazi lwa njia zisizo rasmi ingawa hataki ku-disclose.
Well saidKatika haya mambo ya kazi kushikana mkono kupo, memo, kutoa pesa, kutoa papuchi, yote yawezekana.
Mtoa mada anataka kuonyesha yeye alikuwa so special ndo maana akapata kazi. Na kweli angeweza kimsaidia labda alihofu njia aliyoingilia itajulikana.Katika haya mambo ya kazi kushikana mkono kupo, memo, kutoa pesa, kutoa papuchi, yote yawezekana.
Hamna bana hata sio kujulikana watu wa hivi wapo....Mtoa mada anataka kuonyesha yeye alikuwa so special ndo maana akapata kazi. Na kweli angeweza kimsaidia labda alihofu njia aliyoingilia itajulikana.
Bintu umeolewa......Tatizo hajibu text wala kupokea simu zangu,kuna maisha nje ya TRA jamen lol,bt am sorry perry,am really am.
No,ila nina baby boy 1,nishavishwa pete ya uchumba and soon will get married to the father of my babyBintu umeolewa......
Hamna bana hata sio kujulikana watu wa hivi wapo....
Kuna ndugu zangu flani mmoja ana nafasi nzuri tu shirika flani, yupo katika nafasi ya kusaidia kazi yani uwezo anao 100% ila ndo hasaidii hata ulie machozi, ndugu wa damu wanahangaika kazi ye walaaa na wana vyeti vizuri.
Mwingine kitengo cha ardhi ana uwezo wa kuuza viwanja mashamba, hata vile viwanja huwa vinauzwa na serikali anajua hizo deal, ila ndo hana muda wa kusaidia japo uwezo anao pia
Type za hivi zipo
hongeraNo,ila nina baby boy 1,nishavishwa pete ya uchumba and soon will get married to the father of my baby
Mi nshastop na wewe ndo maana hata hapo juu sijakujibu tena, ila mtu akiniquote hapa siwezi kuacha kujibu labda uzi ufutwe....Eve please stop hii ishu iko serious,sio chit chat huku,nimefanya mistake and i regret it,nakujua u pretend to know each and every thing,ila maisha hayako hivo,nakuomba tuishie hapa.this was special for my friend.
nitafurahi nikipata japo kadi moja ya mwaliko......No,ila nina baby boy 1,nishavishwa pete ya uchumba and soon will get married to the father of my baby
Ntaifanyia kazi thanks,baba watoto yuko mbali kwa sasa kikazinitafurahi nikipata japo kadi moja ya mwaliko......
and a piece of advice huu muda unaotumia kujibizana na watu humu ndani kwanini usikae chini na mume wako mkapanga mipango ya maisha yenu.....
Afu kuhusu kumpotezea bwana mdogo huyo rafiki yako hukufanya poa kabisa ni vyema ukamtafuta umwombe msamaha and next time wakitangaza nafasi za ajira hakikisha unambeba vilivyo mpaka anapata nafasi......
kwa hiyo unahitaji mtu wa kukuliwaza sio?Ntaifanyia kazi thanks,baba watoto yuko mbali kwa sasa kikazi
Nokwa hiyo unahitaji mtu wa kukuliwaza sio?
vizuri thou ni weekend ruksa kupunga stress....Ntaifanyia kazi thanks,baba watoto yuko mbali kwa sasa kikazi
mambo yapo mkuu, ila nmeamini bahati nayo inasaidia,hivi kumbe haya mambo ya kubebana yaliyokua yanasemwa na wadau humu yapo kweli huko utumishi?
lakini mbona sisi wengine tumepata pasipokumjua mtu yeyote?