ukiona hvyo kuna ki2 wanakiupdate pale ,yan wewe mlaji unataka ukaangalie mapish jikoni? ngoja chakula kiandaliwe then ule usikimbilie jikoni hapakuhusu maana ww ni mlaji cyo mpishi.
kwani hii statement "Congratulation for successfully completed online admission into Bachelor Degree in Tanzania." baada ya lulogin ina maana ndo umeshachaguliwa au? msaada tafadhali
Mkimaliza kwenye pressure hiyo..jiandaeni na hili pia... The student with Index number 'S3637.0083.2015' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year.
Mkimaliza kwenye pressure hiyo..jiandaeni na hili pia... The student with Index number 'S3637.0083.2015' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year.