chapashoka
Member
- Mar 9, 2017
- 19
- 5
Ndugu habari zenu, naomba anayefahamu anisaidie ,Nina wadogo zangu wawili mapacha walimaliza kidato cha nne mwaka 2015 ,kulingana na hali yangu ya kipato kuwa ngumu sikuweza kumaliza kulipa ada yao ,hivo wanadaiwa deni kubwa hapo shuleni na hadi sasa hawana vyeti vyao vilibaki hadi watakapomaliza ada. Mwaka huu nilihitaji waende chuo na sina pesa ya kulipia hiyo ada wanayodaiwa isipokuwa Nina ada wanayotakiwa kulipa chuo. Je niki apply vyuo kwa kutumia result slip wataweza kuchaguliwa vyuoni? Au njia ipi watu wanatumia kama hawana pesa ya kulipia?