Kuhusu vitambulisho vya NIDA tutafungwa wengi sana

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Huu utaratibu wa sasa ukipata kesi yoyote inaambatana na laini yako kama ulisajili kwa kitambulisho cha mtu mwingine unafunguliwa kesi nyingine hayo siyo makosa yetu Serikali itatufunga wengi sana!

Hayo ni makosa ya NIDA kwa kuchelewa kutoa vitambulisho na kuweka utaratibu ambao sio rafiki kabisa maelfu ya watu hawana nikiwemo mimi, nani atakubali akose mawasiliano?

Tufungeni basi!
 
Huu utaratibu wa sasa ukipata kesi yoyote inaambatana na laini yako kama ulisajili kwa kitambulisho cha mtu mwingine unafunguliwa kesi nyingine hayo siyo makosa yetu Serikali itatufunga wengi sana...
Vijana wa hii nchi mnapenda kila kitu mfanyiwe sio?
 
Back
Top Bottom