G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,555
- 35,880
Nashangaa kuona Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitoka na kumuita CAG kienyeji huku akijua kuwa CAG ni mamlaka yenye kinga kikatiba.
Nikukumbushe tu ndugu Ndugai umekurupuka sana. Ilibidi bunge zima limjadili CAG na kupitishwe azimio ndipo aitwe na siyo spika kutoka kienyeji na kumuita. Wapi mlijadili hilo?
Mnafanya mambo kienyeji mkiambiwa nyie ni chombo dhaifu mnapiga makelele. Jifunzeni nidhamu na utaratibu wa kiuongozi.
CAG hakukurupuka.Aliongelea yale aliyotumwa kuyafanyia kazi. Sasa nyie badala ya kufanyia kazi hayo anakuja Spika anachafua hadhi ya bunge.
Bunge letu lingekuwa na umoja basi huyu Spika angeondolewa mara moja ila ndiyo hivyo tena!