halelwa Member Joined Aug 16, 2013 Posts 28 Reaction score 2 Aug 17, 2013 #1 Samahani ndugu zangu hv hii price list ya gari used!wameandika RSP (USD) 46,506 kwa range rover 4.6 ya mwaka 1995.hii inamaanisha nini?asanteni.au ndio dola $46,506 wakati gari yenyewe ni dola $3438
Samahani ndugu zangu hv hii price list ya gari used!wameandika RSP (USD) 46,506 kwa range rover 4.6 ya mwaka 1995.hii inamaanisha nini?asanteni.au ndio dola $46,506 wakati gari yenyewe ni dola $3438