Kwanini uwe na wasiwasi kama huvunji sheria
Umekosa lakufanya?
Ndio kiongozi, kuna jamaa angu mmoja pamoja na mimi tuliamua kutengeneza virus na kuituma kama ujumbe na ukiifungua unakuwa tracked popote pale na chochote sensitive utakachokifanya online tunapata info zakeLinks mfano za mitandao au habari fulani kutoka site tofauti?
Du kwahio there's no way hata ukiwa na unverified name sio kituNdio kiongozi, kuna jamaa angu mmoja pamoja na mimi tuliamua kutengeneza virus na kuituma kama ujumbe na ukiifungua unakuwa tracked popote pale na chochote sensitive utakachokifanya online tunapata info zake
Tuna wataalamu uchwara bora kufanya kautafiti mahala pengineWataalamu maoni yenu please
umewajibu vzr, mpka roho yangu imefurahi..Hauna unachokijua cha kuchangia unakausha tu.kwani kuna tatizo???
Umesema ukweli mkuuStay on your own Lane.. utajiepusha na matatizo mengi sana. Tatizo watu mnapenda kujiingiza kwenye Mambo yasiyowahusu ndio maana mnaishia kupata matatizo.
Kabisa yaani, ukiwa busy ma mambo yako yanayokuhusu wala hakuna atakaekusumbua lkn ukijifanya mjuaji wa yasiyokuhusu basi utayapata malipo yake.Umesema ukweli mkuu