Kuhusu upimaji viwanja

haaa kumbe no za beacon ni lazma kuzikariri?
 
Plot number ndo inaandikwa kwenye jiwe?
 
Maelezo ni Marefu ila kwa Ushauri Nenda Ofisi yoyote ya Ardhi Halmashauri Manispaa au Kamishna Msaidizi Mkoa Onana na Mtalaamu wa Upimaji SURVEYOR atakupa Ufafanuzi wa Maswali yako
 
Naomba kujua hili! Katika UPIMAJI SHIRIKISHI, kampuni imepima na kuniwekea BEACONS, lkn mwaka wa pili sasa wameingia mitini! Nawezaje kuumalizia mchakato mwenyewe?
Wewe mwenyewe huwezi ile ni Taalumu Nenda Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri Ofisi ya Ardhi Mipango Miji watakuwa Wanaijua hiyo Kampuni kwani ndio waliipa hiyo Kazi ya kuwapimia wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…