Kuhusu upanuzi wa barabara ya Dar - Chalinze

Soki

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
1,303
Reaction score
281
Wakuu,

Waziri John Magufuli alisema kwamba wizara yake ina mpango wa KUPANUA barabara hii. Swali linakuwa je, itapanuliwa kwa kiwango gani? Je, wanaongeza njia ili ziwe 4, yaani kama ilivyokuwa kutoka Kimara kuelekea mjini, yaani mbili kwenda na mbili kurudi?

Kama mheshimiwa Magufuli yumo humu kama walivyo wenzake akina Tibaijuka, tunaomba atufafanulie. Kama hayupo, mheshimiwa Waziri, basi mdau yeyote anayejua atujulishe tafadhali

Asante.

c.c NDINDA
 
Last edited by a moderator:
Hii barabara ikipanuliwa italete ahueni kubwa sana
 
Wakuu,

Waziri John Magufuli alisema kwamba wizara yake ina mpango wa KUPANUA barabara hii. Swali linakuwa je, itapanuliwa kwa kiwango gani? Je, wanaongeza njia ili ziwe 4, yaani kama ilivyokuwa kutoka Kimara kuelekea mjini, yaani mbili kwenda na mbili kurudi?

Kama mheshimiwa Magufuli yumo humu kama walivyo wenzake akina Tibaijuka, tunaomba atufafanulie. Kama hayupo, mheshimiwa Waziri, basi mdau yeyote anayejua atujulishe tafadhali

Asante.

c.c NDINDA

Njia 6 DAR-Chalinze, njia 4 Chalinze-Moro
 
Last edited by a moderator:
Njia 6 DAR-Chalinze, njia 4 Chalinze-Moro
hii itarahisisha hasa wale wanaorejea kutoka mikoani ikiwa ni pamoja na urahisi wa kwenda na kutoka Chalinze/Msoga, pia ina pia ikijumuisha na barabara mbadala ya Tegeta - Bagamoyo - Msata - Chalinze/Segera mambo yatakuwa mujarab
 
"What a shameful nation full of resources but rich of boguses!" - Bondpost wa Jamiiforums
Uliyeandika hiyo Comment hapo juu una wazimu wewe! yaani barabara kupanuliwa ili kurahisisha usafiri unaita Bogus? Una wazimu na wendawazimu wewe!!
 
ikipanuliwa na kuongezwa mambo yatakuwa safi. je inaanza lini?
 
Hii HADITHI nimeanza kuisikia mwaka wa 15+ sasa. labda mjukuu wangu ataiona hiyo barabara hadi MOROGORO njia 4. hamna kitu ni gear ya kupata kura za chaguzi za Serikali za Mitaa mwakani
 
"What a shameful nation full of resources but rich of boguses!" - Bondpost wa Jamiiforums
Uliyeandika hiyo Comment hapo juu una wazimu wewe! yaani barabara kupanuliwa ili kurahisisha usafiri unaita Bogus? Una wazimu na wendawazimu wewe!!
Don't dismiss him that simpy. Kusema kwamba tutatabua barabara ni jambo moja, lakini kupanua barabara ni jambo jingine kabisa.
Kama tungekuwa tunazichukulia ahadi zote kuwa ndiyo mradi umeshatekelezwa leo hii kila mtanzania angekuwa na maisha bora.
Kama unataka kujithibitishia kuwa hizo zinaweza kuwa ni ahadi na zikaishia kuwa ahadi tu ebu nenda kwenye bajeti ya Magufuli uone serikali imetenga kiasi gani cha fedha kwa ajili ya mradi huo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kussy, kuna fedha zimetengwa kwa kazi hiyo?
 
Au labda kuna msaada wa wafadhili ndo maana haiko katika budget ya Magufuli?
 
Wakuu,

Waziri John Magufuli alisema kwamba wizara yake ina mpango wa KUPANUA barabara hii. Swali linakuwa je, itapanuliwa kwa kiwango gani? Je, wanaongeza njia ili ziwe 4, yaani kama ilivyokuwa kutoka Kimara kuelekea mjini, yaani mbili kwenda na mbili kurudi?

Kama mheshimiwa Magufuli yumo humu kama walivyo wenzake akina Tibaijuka, tunaomba atufafanulie. Kama hayupo, mheshimiwa Waziri, basi mdau yeyote anayejua atujulishe tafadhali

Asante.

c.c NDINDA

Tatizo nchi yetu ni ya wizi tu kila kona, sehemu ya kuweka double road wao wanaweka kiraka pembezoni mwa barabara wakati bajeti inakuwa ileile, angalia barabara ya Airport mpaka gongolamboto lengo lilikuwa ni double road mpama Pugu Kajiungeni sasa hivi wanaongezea pembezoni kaupana kidogo pesa nyingine wanatia ndani. Wakati inajengwa barabara ya Ubungo -Kimara tulisikia itafika double mpaka Mlandizi lakini wapi!
 
Hii HADITHI nimeanza kuisikia mwaka wa 15+ sasa. labda mjukuu wangu ataiona hiyo barabara hadi MOROGORO njia 4. hamna kitu ni gear ya kupata kura za chaguzi za Serikali za Mitaa mwakani
mkuu Nyati, hizo historia achana nazo, safari hii yupo jk mwenyewe kama Mkapa na Barabara ya kusini
 
Back
Top Bottom