kuhusu ufaulu kupanda kila mwaka..

kuhusu ufaulu kupanda kila mwaka..

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,178
najua Kuna watanzania wengi hawaelewi kuhusu hili Jambo....
natoa mfano rahisi...

darasa Lina wanafunzi 60 mwaka Jana na wakafanya mtihani wakafaulu 45 ....

mwaka huu darasa Lina wanafunzi 80 wamefanya mtihani wanafaulu 51..

ndio hapo unaambiwa ufaulu umepanda kulinganisha na mwaka Jana!!
 
Hii elimu yetu wanasiasa wanaitumia kuwafanyia watoto wetu experiments zao wanazozijua wao aidha kwa kujua makusudically au kwa kutokujua!
 
najua Kuna watanzania wengi hawaelewi kuhusu hili Jambo....
natoa mfano rahisi...

darasa Lina wanafunzi 60 mwaka Jana na wakafanya mtihani wakafaulu 45 ....

mwaka huu darasa Lina wanafunzi 80 wamefanya mtihani wanafaulu 51..

ndio hapo unaambiwa ufaulu umepanda kulinganisha na mwaka Jana!!

Kuna walakini serikali ifuatie kwa umakini isiwe kua tunatengenezewa bomu apo baadae wasi wasi kibao kwangu toka s/ singi
 
Hii imekaa kisiasa zaidi. Ufaulu ukishuka Serikali itakosolewa. Serikali ikikoselewa BARAZA na halmashauri na hata shule zilizofelisha lazima zipate msukosuko.

Hivyo ikitokea wanafunzi wamefeli sana lazima kufanyike standardisation!
 
Wakati ufaulu unaongezeka, upumbavu ndio unazidi kunawiri na kung'aa.

We angalia walioenda ikulu jana mashudu waliyoporomosha halafu wamesiwaje!!!
 
Idadi ya As zinakuwa nyingi kuliko idadi ya walioelimika. Inasikitisha sana
 
Kwa mfano huu rahisi kabisa kuelewa usishangae kuna watu wakapinga ila ukweli unabaki pale pale hakuna ongezeko la ufaulu bali ongezeko la wanafunzi.
najua Kuna watanzania wengi hawaelewi kuhusu hili Jambo....
natoa mfano rahisi...

darasa Lina wanafunzi 60 mwaka Jana na wakafanya mtihani wakafaulu 45 ....

mwaka huu darasa Lina wanafunzi 80 wamefanya mtihani wanafaulu 51..

ndio hapo unaambiwa ufaulu umepanda kulinganisha na mwaka Jana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na mfano wako mwaka jana 45/60 ilikuwa sawa na 75%; na mwaka huu 51/80 ni sawa na 63.75%. Hapa utaona anguko la 11.25%. Mfano ulioutoa umeharibu lengo la ujumbe nilioutarajia.
wewe wasema!!
 
Back
Top Bottom