Kuhusu TRA Oral interview

Kuhusu TRA Oral interview

Kambiaso

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
145
Reaction score
120
Tarehe 15dec mwaka jana kulifanyika Oral interview kurasini kwa nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA,,nilifanya usahili kwa nafasi ya customs,nahitaji kujua kwa anaefahamu kama TRA tayari wameshaita watu kazini.
 
Mmmh mlikuwa 150? Ndio hao, Tangu umefanya application mpaka umeitwa written interview ni mda gani? Mbona unakuwa na haraka sasa!
 
Asanteni wakuu kwa mchango wenu,acha tuendelee kuvuta subira.
 
Panel haikunipa timeframe,walisema watapiga simu.
 
Panel haikunipa timeframe,walisema watapiga simu.
walisema baada ya week mbili na week ya pili imeisha tarehe mbili. hii ni week ya tatu inakata. tuwe na subira na tusali kaka. kila kitu kitakuwa sawa
 
walisema baada ya week mbili na week ya pili imeisha tarehe mbili. hii ni week ya tatu inakata. tuwe na subira na tusali kaka. kila kitu kitakuwa sawa

Hii hapa comment inadhihirisha kabisa umefanya oral interview.. Mkuu
 
Back
Top Bottom