Kuhusu toshiba driver detective

kwalele

Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
36
Reaction score
15
Ndugu wanajukwaa kwa mwenye Key za program ya toshiba driver detective naomba ani2mie,ninaihitaji ili niweze kuitumia hii program kuinstall wireless Driver​ kwenye toshiba satelite C850-F01N
 
Ndugu wanajukwaa kwa mwenye Key za program ya toshiba driver detective naomba ani2mie,ninaihitaji ili niweze kuitumia hii program kuinstall wireless Driver​ kwenye toshiba satelite C850-F01N

Mkuu kwann usidownload kutoka kwenye official website ya toshiba hiyo driver
 
Jaribu kuingia kwenye website ya toshiba, wakati mwingine unaweza ukakosa kuona model number ya computer yako, hapo itabidi u search kwenye google taratibu. driver detector mara nyingi zinaacha spyware kwenye machine yako au kama windows yako siyo genuine hazifanyi kazi
 
Acha kujisumbua mkuu, ingia site ya toshiba kuna wireless driver kibao za makampuni mengi tu utachagua na zipo compatible na hiyo PC yako
 
Ndugu wanajukwaa kwa mwenye Key za program ya toshiba driver detective naomba ani2mie,ninaihitaji ili niweze kuitumia hii program kuinstall wireless Driver​ kwenye toshiba satelite C850-F01N

Mimi nina C850-F03A, drivers zote nilizipata kwenye web ya Toshiba,usihangaike kwingine,zote zinapatikana kule. Haina haja ya key wala nn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…