Mkuu, ingekuwa vizuri ungetuelekeza kiundani ulitumia njia zipi kujiunga naicho kifurushi cha wiki, je ulituma SMS au ulitumia dashboard ya tigo kujiunga na hiyo huduma? pia isije kuwa profile unayotumia ku-connect kwenye mtandao ina kasoro au umeibadilisha kima kosa,