Hao wanayaona kwenye vyuo walivyopangiwa na sio kupitia account zao za tcu na tcu watazifungua account za kisha ndio muweze kuona vinginevyo subiria kila chuo wakitoa majina kama ulikichagua jiangalie huko kama la subiria chuo utapata usiteseke ndivyo inavyokuaga miaka yote