Kozi gani yupo?poa poa mdau,, lazma aje hapo maana anapakubali sana dogo
Karibu Mazimbu mkuu! Ila usisahau kunipa namba ya dogo lako nimsaidie kwenye michakato ya kujisajiri. Karibu sana SUA
Nashukuru nimefanya mawasiliano nao wamenisikiliza nadhani wanalishughulikiaKuna mtu nilimsaidia kufanya confirmation and after one day Ikajibu.
Labda kwako kuna shida kdg, jitaidi kufanyanya mawasiliano nao
CONGRATULATIONS, YOU HAVE BEEN SELECTED!!!
Print your Admission letter Here
Print your Joining instruction Here
You have to be billed by the students accountant for university, other fees and medical fees for this academic year
Kasema karibu mazimbu yani kamkaribisha jamaa kutembeaAnimal science na Mazimbu wapi na wapi mkuu ?
Soon watakuja mkuu.
Mwambie dogo akaribie sana SUA.
Ni kozi wengi wanaisoma na mazingira ya chuo ni mazuri sana pia wana maabara ya kisasa wamejengewa. Bila kusahau wakufunzi wapo vizuri kuliko maelezo.Mkuu nisaidie mawil matatu kuhusu mazimbu Dogo kachaguliwa bsc in education (math & chemistry)