Kuhusu simu za nokia

Kuhusu simu za nokia

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
900
Reaction score
617
Wakuu nokia phones and apps cjaona ckijadiliwa naona android kwa xana,kwann?
 
sio kweli kwamba hazijadiliwi, kuna uzi humu wenye jina Symbian mega thread,
pia tambua kua Zama za Nokia na Symbian zime kufa sasa kuna Nokia na Windows Phone ambayo ina wateja wachache sana hapa JF so ni vigumu kujadili, lakini kama unatatizo usisite kuuliza naimani tutasaidiana.
 
Wakuu nokia phones and apps cjaona ckijadiliwa naona android kwa xana,kwann?
Unazungumzia ile NOKIA tochi ama..?? Maana ile simu ina umaarufu sana. Kila mwenye li-simu la maana, sijui iPad, Sijui galaxy, sijui BB yaani lazima ana kitochi chake kwa pembeni... Chezeya NOKIA tochi weye...
 
Umeona ehee?

311 sio symbian

Mkuu nataka simu ya kukaa na chaji ya kawaida, katika pitiapitia mitandaoni nimekutana na hii Nokia 105 nahisi itanifaa.

Tatizo sijajua wastani inatembea sh ngapi.?
 
40,000 maximum ila unapata hadi 35,000 ni kitoch kipya vipo kkoo vingi sana sasa hv, sema ustegemee kitu special kina tochi, redio na vitu vya kawaida hakina camera wala internet.

kama unataka simu yenye internet na camera yenye kukaa sana na chaji ni asha 501 around laki na nusu inauzwa na inakaa na chaji siku 4 matumizi ya kawaida na hadi wiki matumizi madogo. standby inakaa na chaji siku 40(mwezi na siku 10)
 
Mkuu sitaki internet wala kamera, zaidi uvumilivu wa chaji, kwa hizo huduma ninayo simu maalumu.

Nyongeza mkuu ninayo Nokia E52 ila nimeipaki zaidi ya miezi mitatu, tatizo lake baadhi ya keypad kama na. 6,3,4 hazifanyi kazi sio kwenye namba au herufi kote kimya.
nilishawai kumpelekea fundi mmoja akaishia kupaka mafuta ya ajabuajabu lakini wapi kimya.

Mkuu nilikua nataka kujua ni tatizo hardware au software, na kama kuna suluhu tofauti nisaidie.?
 
mkuu tatizo ni hardware mi si mtaalam wa vitu hivyo ungatafuta mafund simu wapo humu
 
nashukuru mkuu zaidi nilikua nataka kujua kama ni tatizo la software au hardware.
ngoja niwatafute mafundi.!
 
Mwenye uzoefu na lumia 720 naomba aniambie perfomance and usability ya 4n ikoje.Ushauri naomben naipenda hii 4n.thnx in advance
 
Research In Motion

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwenye uzoefu na lumia 720 naomba aniambie perfomance and usability ya 4n ikoje.Ushauri naomben naipenda hii 4n.thnx in advance

hiyo ni simu ya watu wa social network sifa kubwa za hii simu ni hizi.
-betry kubwa (60 working hrs)
-ina camera ya mbele best
-inapiga picha nzuri za mwanga mdogo(camera yake ni unique 6mp)
-ina wireless charging(mpaka ununue)
- kioo chake ni curve
-ni slim na stylish (mauzo)

hii simu ina ram 512 na kuifanya baadhi ya high end games zisiwe compatible( pengine wala hutozihitaji) ila games za kawaida kama asphalt 7, temple run zinafanya kazi vizuri.

pia inatumia windows phone na si android ujue unachokifanya
 
Back
Top Bottom