Kuhusu selection za kidato cha tano

Kuhusu selection za kidato cha tano

ramadhan ndonja

New Member
Joined
Aug 9, 2024
Posts
4
Reaction score
6
Naomba kujua hivi mwanafunzi akichaguliwa comb ya art (mchepuo wa sanaa) anaweza kufika shule akabadilisha akasoma comb ya sayansi (mchepuo wa sayansi) mfano amechaguliwa HGL akabadilisha akasome CBG? , ufaulu wake n sawa kwa masomo yote ya arts na sayansi yaani hakuna utofauti
 
Waliokuchagulia sio wajinga , utakuja buyuka vibaya sana usipo kuwa makini🤔
 
Naomba kujua hivi mwanafunzi akichaguliwa comb ya art (mchepuo wa sanaa) anaweza kufika shule akabadilisha akasoma comb ya sayansi (mchepuo wa sayansi) mfano amechaguliwa HGL akabadilisha akasome CBG? , ufaulu wake n sawa kwa masomo yote ya arts na sayansi yaani hakuna utofauti
Aachane na HGL akasome CBG kama combination imekubali

Kusoma HGL ni kupoteza muda tu ni moja ya misomo isiyokuwa na future yeyote mbele huko
 
Naomba kujua hivi mwanafunzi akichaguliwa comb ya art (mchepuo wa sanaa) anaweza kufika shule akabadilisha akasoma comb ya sayansi (mchepuo wa sayansi) mfano amechaguliwa HGL akabadilisha akasome CBG? , ufaulu wake n sawa kwa masomo yote ya arts na sayansi yaani hakuna utofauti
Inawezekana cha msingi awahi shuleni na awe na vigezo

Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom