Okay nafuatilia na itakavyokuwa nitaleta mrejesho ila tusubiri wadau wengine huenda Wana lolote wanalojuaWe endelea kumfuatilia utatupa mrejesho km kafanikiwa ama laaah maana hata sisi tunasikiaga hizo stori lkn hatujawahi ona mtu anatajirika kwa hizo pesa.
Unforgetable
Mkuu mwambie aje ninazo mpaka Pound za sarafu njoo pmNina jamaa yangu, kwa siku za hivi karibuni amekuwa busy sana kutafuta hizi sarafu. Jamaa yangu yupo full committed kiasi kwamba anaweza kupotea town hata wiki kadhaa na siku akionekana anasema alikuwa chimbo huko anazisaka hizo pesa za Mjerumani.
Sasa Jana karudi kutoka Morogoro akiwa na sarafu kadhaa kibindoni. Ana matumaini na furaha ya ajabu. Anaongelea utajiri, anaongelea vile life litabadilika atakapompata buyer wa hizo sarafu. Jamaa anazungumzia magari, majumba na makorokoro mengine yaani life flani la bata ndefu kama Jacky Pemba au Mondi bin Chibu Dii Chibu Dee!
Kiukweli, mimi sijui lolote kuhusu hizi mishe ila najua humu kuna wajuzi kutoka kila kada na hakuna swali liliwahi kukosa jibu mahali hapa. Hivi hizi habari za utajiri wa sarafu zina ukweli wowote au jamaa yangu kalishwa matangopori na wahuni wa mjini?
Kama kuna ukweli wowote basi tujuzane ni tajiri gani hapa TZ ambaye utajiri wake ulitokana na kuuza hizo sarafu. Na kama kuna ukweli, soko la hizi sarafu liko wapi hapa nchini? Ipi thamani halisi ya hizi sarafu? Hivi huu utajiri wa hizi sarafu ni utajiri kweli au ni pesa tu ya kubadilishia mboga na viwalo?
Kiukweli huyu jamaa yangu anaongelea utajiri kirahisi Sana! Kwake utajiri ni kama event flani hivi ambayo sasa ndio zamu yake. Hii ni spirit ya washkaji wengi wanaotafuta hizo pesa! Kuna ukweli wowote au hizi pesa zina mashetani ya kuwavuruga watu akili? Mbona wanakuwa na misimamo inayofanana? Hofu yangu isije ikawa jamaa yangu anachanganyikiwa mdogo mdogo!
Jana karudi kutoka Morogoro huko ndani ndani maeneo ya Kilombero na sarafu zimeandikwa 5 Heller za mwaka 1908, pia zipo 20 Heller za mwaka 1916 na nyingine ina maneno ya Kiarabu hivi.
Nijuzeni ukweli wa haya mambo ili nijue namsapoti vipi mwanangu next time niende naye chimbo au nimuache achanganyikiwe kivyake.
Duuh kumbe mambo ni mengi Hadi majeneza humo humoKwa punguzo la bei za majeneza fanya booking mapema kabisa jeneza la size yake. Maana anakufa na bp muda si mrefu baada ya kugundua alivyotapeliwa. Kwanza kabla hata hajayauza hebu mwambie ampigie simu wa kule alikoyatoa kama atapatikana!!!
Yes, jamaa yangu yupo addicted kinoma. Eti anasema wakati yupo njiani kuna mtu aliongea nae kwa simu walikubaliana aje amuuzie Sasa tokea asubuhi huyo mtu hapatikani... Hivi kweli ingekuwa na faida ya hivyo huyo mtu angeacha kupatikana kweli?Huo ni uraibu(adiction) nyingine kwa baadhi ya watu. Kuna watu muda wao mwingi wanatumia kushughulika na illusion ya utajiri wa pesa au mali za Mjrumani, na wote wanaofanya hivyo maranyingi huwa wana struggle hata hela ya kula!!!
Hakuna kitu kama hicho. Hakuna mali ya Mjerumani wala hakuna mteja yeyote wa sarafu za Mjerumani eti atanunua ukiwa nazo upate utajiri. Ni ndoto tu za mwendawazimu ambazo bahati mbaya wengi wanao ota huchelewa sana kuamka
Nina jamaa yangu, kwa siku za hivi karibuni amekuwa busy sana kutafuta hizi sarafu. Jamaa yangu yupo full committed kiasi kwamba anaweza kupotea town hata wiki kadhaa na siku akionekana anasema alikuwa chimbo huko anazisaka hizo pesa za Mjerumani.
Sasa Jana karudi kutoka Morogoro akiwa na sarafu kadhaa kibindoni. Ana matumaini na furaha ya ajabu. Anaongelea utajiri, anaongelea vile life litabadilika atakapompata buyer wa hizo sarafu. Jamaa anazungumzia magari, majumba na makorokoro mengine yaani life flani la bata ndefu kama Jacky Pemba au Mondi bin Chibu Dii Chibu Dee!
Kiukweli, mimi sijui lolote kuhusu hizi mishe ila najua humu kuna wajuzi kutoka kila kada na hakuna swali liliwahi kukosa jibu mahali hapa. Hivi hizi habari za utajiri wa sarafu zina ukweli wowote au jamaa yangu kalishwa matangopori na wahuni wa mjini?
Kama kuna ukweli wowote basi tujuzane ni tajiri gani hapa TZ ambaye utajiri wake ulitokana na kuuza hizo sarafu. Na kama kuna ukweli, soko la hizi sarafu liko wapi hapa nchini? Ipi thamani halisi ya hizi sarafu? Hivi huu utajiri wa hizi sarafu ni utajiri kweli au ni pesa tu ya kubadilishia mboga na viwalo?
Kiukweli huyu jamaa yangu anaongelea utajiri kirahisi Sana! Kwake utajiri ni kama event flani hivi ambayo sasa ndio zamu yake. Hii ni spirit ya washkaji wengi wanaotafuta hizo pesa! Kuna ukweli wowote au hizi pesa zina mashetani ya kuwavuruga watu akili? Mbona wanakuwa na misimamo inayofanana? Hofu yangu isije ikawa jamaa yangu anachanganyikiwa mdogo mdogo!
Jana karudi kutoka Morogoro huko ndani ndani maeneo ya Kilombero na sarafu zimeandikwa 5 Heller za mwaka 1908, pia zipo 20 Heller za mwaka 1916 na nyingine ina maneno ya Kiarabu hivi.
Nijuzeni ukweli wa haya mambo ili nijue namsapoti vipi mwanangu next time niende naye chimbo au nimuache achanganyikiwe kivyake.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] tatizo lake "haambiliki"
Kufungwa kamba ndio suluhisho