wakuu, habari za asubuhi?
well, niwieni radhi kwa nitakaowapotezea muda kwa huu uzi.
Naombeni kufahamu kutoka kwenu wataalamu wa simu hizi za kisasa.
Hii simu tajwa hapo juu, samsung galaxy grand prime ni halali niuziwe kwa Tshs laki 3? Kuna mtu anayo, kanitajia fixed price, laki 3!
Hii simu ina nini kizuri ndani wataalamu?