Kuhusu Router.

eliasy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
455
Reaction score
54
Naomba kujua matumizi ya router.
Zinapatikana katika kampuni za simu tu au madukani?
Bei zake? Size zikoje?
 
Zipo madukani pia. Nenda pale Kisutu stand ya zamani ya mabasi ya Moshi. Bei inategemea na aina na matumizi. Zinaanzia 70000/=,80,000/=,90000/= na kuendelea. Kuna wireless na za kuunga na wire.
 
Zinakuwa connected na umeme au ni za kuchaji?????
 
Zinakuwa connected na umeme au ni za kuchaji?????

Zipo ndogo za usb ambazo zinsambaza wireless arround 100mtrs ambayo unachomeka modem yako kwenye hiyo router then router unaiconnect kwa pc yako lakini pia zipo kubwa ambazo wired na wireless na hutegemeana na uwezo wako likin zile kubwa zinatumia adopters
 
Naomba kujua matumizi ya router.
Zinapatikana katika kampuni za simu tu au madukani?
Bei zake? Size zikoje?

Matumizi ya router ni kudirect data packets kwenda kwenye destination addres husika ambayo imekusudiwa data packets hizo kupelekwa.
 
Nashukuru kwa maelezo mazuri.
Sasa nilikuwa nahitaji kwa matumizi ya simu na laptop. Ila ambazo ni wireless. Kwa matumizi ya kawaida tu.
Je, hizo zitakuwa za kuchaji au zinakuwa connected katika umeme?
 
Nione/PM nikupatie "Pocket Size" Router/wireless,unachomeka kwenye Socket or U can also use USB Port/Cable as a source of power. Unachomeka Modem yako kisha unatumia Vifaa Lukuki kama Vile Simu/Ipad/tablet/PC/Smart TV/Game Consoles etc. Price Tsh85,000/- Inasambaza Signals umbali 100m, with a very Stable & Customizable Software(DD-WRT). nita-Upload Picha Very Soon.
 
Nashukuru kwa maelezo mazuri.
Sasa nilikuwa nahitaji kwa matumizi ya simu na laptop. Ila ambazo ni wireless. Kwa matumizi ya kawaida tu.
Je, hizo zitakuwa za kuchaji au zinakuwa connected katika umeme?
  • Ya bei ya chini ni D-LINK: Wireless N 150 3G Mobile Broadband Router
​
Je, hizo zitakuwa za kuchaji au zinakuwa connected katika umeme?
Hii huwa connected kwenye umeme, ina adapter

  • Hii inauzwa tsh 60,000/-
  • Waweza kuunga device hadi Tano
  • Wapi utapata: Kariakoo {Jina la duka , Mtaa na Namba ya simu, Angalia PM}
​

Ila hii router(DIR-412 3G WIRELESS N150 ROUTER) haiko compatible na modem za Huawei E303. Kama kuna mwenye router ambayo iko compatible atujulishe.Kabla ya kununua router check compatibility na modem yako.
 
Kwahyo kama unayo hyo modem ya huawei E303 haiwezi kusoma?
 
Bado mnazungumzia 3G..??? Nenda Smile coms ukapate 4G LTE router....
 
hELLO, BEI NGAPI SIKU HIZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…