Kuhusu Robotics & microcontroller programming

Wana JF kwa ujumla ratiba imebana ndo maana comment zimepungua kwenye forum. Tai ya majukumu imekaba shingo.Lakini kama una lolote juu kuhusiana na uzi huu waweza uliza.
 
Pamoja mkuu.
Gharama ya kuwa na kits zote for home based lab inaweza kuwa kiasi gani. Hapo niwe na Powersupply, cro, signal generator, design and testing kits zote including softwares. Au basic kits for home lab/workshop Nataka hii kitu
 
Gharama ya kuwa na kits zote for home based lab inaweza kuwa kiasi gani. Hapo niwe na Powersupply, cro, signal generator, design and testing kits zote including softwares. Au basic kits for home lab/workshop Nataka hii kitu
Mkuu kwa ujumla sifahamu bei ya hivyo vitu,ila niliwahi uliza CRO ikapatikana humu JF 2012 kwa sh 800,000/-, nikaachana nayo nikafanya plan B.

Kwa vitu ulovitaja hapo juu, ni kimoja tu ambacho niliwahi nunua,Oscilloscope(lakini siyo CR bali USB). Kwa kuwa muda mwingi na-deal na digital systems,nikanunua logic analyzer.

Mi ni newbie katika fani, mara nyingi project zangu natumia plan B solutions ili tu nisikwame kile nifanyacho kwa kukosa vifaa. Power supply kwa mahitaji ya project huwa na-DIY au na-hack ready-made, cha msingi nijue power supply requirements. Signal generator natumia software version au na-DIY pia kwa simple waveform nitakayo kama square wave, hata PWM signal. Muda mwingi nafanya kwenye simulator.
 
Nimekupata nitakuwa Kea link ya jamaa designer wengine utapata kuongeza kitu. Good job.
Unaweza kufikilia kutengeneza simple Powersupply kwa akili ya practical za physics mashuleni maana wengi wanatumia mabetri ambayo wkt mwngn hawa partially discharged
 
Ndiyo yawezekana Mkuu.
Jambo la msingi ni kujua specification tu.
 
Nashukuru kwa hiyo link Mkuu, nimepitia yaliyomo. Ni utundu mzuri, ila kama nilivyotangulia kueleza mwanzo, mara nyingi mi naenda DIGITALLY, huwa napenda, kama nafasi inaruhusu, ku-design electronics gadgets kuanzia discreet component level.

Hivyo nilishafanya utafiti miaka minne iliyopita jinsi ya kuunda voltage inverter digitally kwa kutumia microcontroller ku-generate square wave na modified square wave ambazo nilizitumia ku-drive push-pull power E-MOSFETs ambazo zina-drive step up transformer itoe 230V Modified square-wave AC, mfumo utumikao kwenye UPS japo yangu ni simple design.
Endelea kunipa link za teknolojia ili nizidi kujifunza mengi.
 
Naona tunaendelea mkuu alpha 1, m nakuwa busy sana na kuunda sub woofers
 
Hii ni yangu ktk magari
 

Attachments

  • WP_20160730_004.jpg
    106 KB · Views: 74
Kazi nzuri mtaalamu. Kaza buti,maana hii ni Tanzania ya viwanda. Unaanza kidogo kidogo hatimae unapaa.
 
Habari wakuu.
Naweza kupata wapi AVR ATMega microcontroller yeyote ya DIP package kwa Dar?
 
Habari wakuu.
Naweza kupata wapi AVR ATMega microcontroller yeyote ya DIP package kwa Dar?
Ninazo PIC16f877A 40pin, PIC16F628A 18pin na PIC12F629 8pin nipo mbeya kwa sasa.
 
Jamani wapi napata mziki mkali original Kwny gari
 
Jamani wapi napata mziki mkali original Kwny gari
Kama upo arusha au upo jiran na arusha nenda kwa aleki. Eastsidesides au nichek 0755680562. Kama upo dsm nenda kwa big audio sinza. Na pia ukitaka njoo nikufanyie mwenyewe
 
Habari wakuu wa Tanzania ya viwanda.
Naweza kupata wapi Bipolar Stepper Motor NEMA17, 12V, resolution 1.8 deg/step na torque kuanzia 26N/cm na kuendelea?
 
Habari wakuu wa Tanzania ya viwanda.
Naweza kupata wapi Bipolar Stepper Motor NEMA17, 12V, resolution 1.8 deg/step na torque kuanzia 26N/cm na kuendelea?

nenda sido pale , kitengo cha power electronics, izo takataka hua naziona kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…