Ilitakiwa uwe specific kuwa ukitumiwa fedha katika SKRILL account, na chanzo kikiwa ni mastercard ndio huwa kuna tatizo la kutoweza kuitoa hiyo fedha kwa njia za kawaida tulizo zoea kutoa fedha toka skrill.Sasa ni kivipi hizo pesa za MasterCard hazina thamani? wakat kuna ATMs nyingi tu znaSupport MasterCard
Sio kweli kwamba hazina thamani, bali ni restriction walizonazo skrill - mastercard, ni tofauti na TOS za skrill-visa cardSasa ni kivipi hizo pesa za MasterCard hazina thamani?
Ni jambo la msingi kabla ya kupokea malipo inatakiwa ufahamu chanzo cha fedha husika ili kuepuka huu usumbufu.Kuna mwngine nilisikia akisema alishawahi ingia cha kike kwa kukubali kulipwa kwa MasterCard na ikampelekea kuuza hizo dollar zake kwa TZS 1500 kwa dollar moja.
Kama umefanya kazi online omba atumie njia mbadala wa malipo, ili kukusaidia. Mweleze wazi tatizo lililopo.Pesa za MasterCard hazina thamani na kwamba kama umefanya kazi online usikubali mtu akulipe kwa MasterCard
Asante sana mkuu,Ilitakiwa uwe specific kuwa ukitumiwa fedha katika SKRILL account, na chanzo kikiwa ni mastercard ndio huwa kuna tatizo la kutoweza kuitoa hiyo fedha kwa njia za kawaida tulizo zoea kutoa fedha toka skrill.
Sio kweli kwamba hazina thamani, bali ni restriction walizonazo skrill - mastercard, ni tofauti na TOS za skrill-visa card
Ni jambo la msingi kabla ya kupokea malipo inatakiwa ufahamu chanzo cha fedha husika ili kuepuka huu usumbufu.
Kama umefanya kazi online omba atumie njia mbadala wa malipo, ili kukusaidia. Mweleze wazi tatizo lililopo.
Boss Mimi nimeverify Skrill yangu kwa MasterCard sasa nataka nitoe ela mtandaoni ambao wao hawapeleki Skrill kwa MasterCard je restrictions hizo ntasikwepa na kutoa ela kawaida 2?Ilitakiwa uwe specific kuwa ukitumiwa fedha katika SKRILL account, na chanzo kikiwa ni mastercard ndio huwa kuna tatizo la kutoweza kuitoa hiyo fedha kwa njia za kawaida tulizo zoea kutoa fedha toka skrill.
Sio kweli kwamba hazina thamani, bali ni restriction walizonazo skrill - mastercard, ni tofauti na TOS za skrill-visa card
Ni jambo la msingi kabla ya kupokea malipo inatakiwa ufahamu chanzo cha fedha husika ili kuepuka huu usumbufu.
Kama umefanya kazi online omba atumie njia mbadala wa malipo, ili kukusaidia. Mweleze wazi tatizo lililopo.
Unamaanisha nini unaposema umeverify kwa mastercardBoss Mimi nimeverify Skrill yangu kwa MasterCard
Hebu weka vizuri hii sentensi ili uweze kueleweka vyema nini hasa unataka kusemasasa nataka nitoe ela mtandaoni ambao wao hawapeleki Skrill kwa MasterCard
Utakuwa uliskia vipaya mkuu hebu kasikilize tena mkuuWazee wa boma, Naombeni mnitoe tongotongo kuhusu hili.
Nasikiaga watu wanasema kuwa Pesa za MasterCard hazina thamani na kwamba kama umefanya kazi online usikubali mtu akulipe kwa MasterCard.
Kuna mwngine nilisikia akisema alishawahi ingia cha kike kwa kukubali kulipwa kwa MasterCard na ikampelekea kuuza hizo dollar zake kwa TZS 1500 kwa dollar moja.
Sasa ni kivipi hizo pesa za MasterCard hazina thamani? wakat kuna ATMs nyingi tu znaSupport MasterCard tena kwa exchange rates nzuri tu.
Ni kweli nilisikia vbaya, mjadala ulikuwa ni MasterCard to Skrill. Mwalimu hapo juu amefafanua vzuriUtakuwa uliskia vipaya mkuu hebu kasikilize tena mkuu
Kumbe ushapata solution kama vipi fungua akaunti ya skrill ya kenya uwe unatoa pesa kwa safaricomNi kweli nilisikia vbaya, mjadala ulikuwa ni MasterCard to Skrill. Mwalimu hapo juu amefafanua vzuri
Shukrani,Kumbe ushapata solution kama vipi fungua akaunti ya skrill ya kenya uwe unatoa pesa kwa safaricom