KUHUSU OPEN UNIVERSITY

KUHUSU OPEN UNIVERSITY

RUBYA 455

Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
53
Reaction score
11
Habari wana JF, ninaomba kuuliza kwa mwenye uelewa anisaidie kuhusu hili jambo.......nimesoma katika moja ya prospectus ya chuo kikuu huria cha Tanzania {open university} kuwa shahada ya kwanza ya sheria inafundishwa kwa njia mbili...njia ya kwaza ni kwa masafa marefu "long distance" {LL.B by distsnce} na njia ya pili inafundishwa kwa kutumia "partially taught programme" {LL.B EXECUTIVE}.........
swali langu ni kwamba hii LL.B EXECUTIVE ina gharama zake tofauti na ada au inakuaje naomba ufafanuzi kwa anayefahamu kuhusu hili jambo.....na je utaratibu wake upoje ili uweze kuwa ndani ya hii LL.B EXECUTIVE.........KWA YEYOTE ALIYESOMA OPEN UNIVERSITY SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA ANIS
 
open matapeli hao sitaki hata kuwasikia walinidanganya niapply direct chuoni kumbe hawatoi majina kwa degree nimepoteza mda wezi hao
 
vyuo vingine vimejaaza walaji ambao ni ndugu zetu.
na maendeleo yake ni historia tu
 
Habari wana JF, ninaomba kuuliza kwa mwenye uelewa anisaidie kuhusu hili jambo.......nimesoma katika moja ya prospectus ya chuo kikuu huria cha Tanzania {open university} kuwa shahada ya kwanza ya sheria inafundishwa kwa njia mbili...njia ya kwaza ni kwa masafa marefu "long distance" {LL.B by distsnce} na njia ya pili inafundishwa kwa kutumia "partially taught programme" {LL.B EXECUTIVE}.........
swali langu ni kwamba hii LL.B EXECUTIVE ina gharama zake tofauti na ada au inakuaje naomba ufafanuzi kwa anayefahamu kuhusu hili jambo.....na je utaratibu wake upoje ili uweze kuwa ndani ya hii LL.B EXECUTIVE.........KWA YEYOTE ALIYESOMA OPEN UNIVERSITY SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA ANIS
 
Habari wana JF, ninaomba kuuliza kwa mwenye uelewa anisaidie kuhusu hili jambo.......nimesoma katika moja ya prospectus ya chuo kikuu huria cha Tanzania {open university} kuwa shahada ya kwanza ya sheria inafundishwa kwa njia mbili...njia ya kwaza ni kwa masafa marefu "long distance" {LL.B by distsnce} na njia ya pili inafundishwa kwa kutumia "partially taught programme" {LL.B EXECUTIVE}.........
swali langu ni kwamba hii LL.B EXECUTIVE ina gharama zake tofauti na ada au inakuaje naomba ufafanuzi kwa anayefahamu kuhusu hili jambo.....na je utaratibu wake upoje ili uweze kuwa ndani ya hii LL.B EXECUTIVE.........KWA YEYOTE ALIYESOMA OPEN UNIVERSITY SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA ANIS
Pole sana kijana naona uekosa jibu la uhakika kwa swali lako,siamini kma hakuna mtu mwenye majibu ya swali lako,by the way since last year hope umepata maelezo sahihi ya hili ulilouliza toka nje ya jf na sasa hvi unakula kitabu cha Law OUT.
leta mrejesho mkuu...
 
Back
Top Bottom