mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
The safe way ni ku-link card ya bank na Paypal Account badala ya kutumia card yako moja kwa moja! Bank ambayo haina usumbusufu UBA labda waanze usumbufu hivi sasa but miaka zaidi ya mitano iliyopita iliyopita card zao hazikuwa na usumbufu kabisa kuzi-link na Paypal! Good enough, by that time, and I hope hadi sasa haikuwa lazima uwe na a/c... unaweza tu ku-purchase Visa Card kutoka kwako ukawa tu unai-fund... endapo hiyo services kwa sasa hawana basi inabidi ufungue a/c but I hope watakuwa wanayo! Alerternatively CRDB lakini wana usumbufu fulani... wakati natumia UBA enzi zile hawakuwa na mambo ya lazima ujaze form but for CRDB lazima ujaze form!
But iwe CRDB, UBA, or BancABC (na hawa wazuri), DON'Tuse your card moja kwa moja bali fungua Paypal Account kisha i-link card yako! In most cases hakuna charge yoyote utakayokatwa!

Wanakukata kwenye huduma ipi? Nilichosema hawakati ni pale card yako unapokuwa umei-link na Paypal na kisha kufanya transaction kwa kutumia Paypal na sio kadi! Paypal sijawahi kukatwa na mara kwa mara ninaitumia na kuna transactions zangu zingine ni recurrent on monthly basis (but don't do it kama beneficiary mwenyewe hauna uhakika nae in terms of trustworthiness) na zote hizo sijahawahi kukatwa!crdb wanakata bana mm wamenikata juzkat kama 22000 hiv
VERY GOOD ADVICE na ndicho nilichowashauri... jamaa katika hili wapo vizuri sana... no usumbufu! Na ile kadi yao ambayo hulazimiki kuwa na a/c ndio naipenda zaidi.Jaribu UBA tena wana pre-paid card ambayo unaweza weka hela pale unpohitaji kuitumia, hauhitaji kuwa na account..very convenient, mi nakushauri usitumie account yako unayohifadhi hela
MKuu nakuja PM unielekeze zaid