Mnabaki bila chochote vipi Mkuu!?? Kwani commission yako ni asilimia ngapi ya mauzo/miamala !?? Je wanakulipa nje ya makubaliano ya Mkataba!??Habari za wakati huu.
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni wakala wa NMB,Nataka kutoa malalamiko yangu kwa Bank hii kuhusu kamisheni tunazopewa kwa kazi ya uwakala ukilinganisha na hela wanayokatwa wateja wetu.Nashindwa kuelewa kwa nini bank hii inawakata wateja hela kutwa wakiwa wanatoa pesa ila sisi mawakala tunaambulia fedha ndogo sana.Imefikia mda bank hii haioni kazi kubwa tunayoifanya sisi mawakala.Tunanunua machine za POSS milioni moja laki moja na elfu sitini(Tsh1160000) tunaweka mitaji yetu mikubwa hii yote kwa ajili ya kuifaidisha Bank alafu sisi tunabaki bila chochote.NMB na bank nyingine liangalieni hili tofauti na hapo mawakala wataachana na kazi hii.Asante
Eleza vizuri mnabakije bila chochote zile asilimia za commission hauzipati kama inavyotakiwa au?Habari za wakati huu.
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni wakala wa NMB,Nataka kutoa malalamiko yangu kwa Bank hii kuhusu kamisheni tunazopewa kwa kazi ya uwakala ukilinganisha na hela wanayokatwa wateja wetu.Nashindwa kuelewa kwa nini bank hii inawakata wateja hela kutwa wakiwa wanatoa pesa ila sisi mawakala tunaambulia fedha ndogo sana.Imefikia mda bank hii haioni kazi kubwa tunayoifanya sisi mawakala.Tunanunua machine za POSS milioni moja laki moja na elfu sitini(Tsh1160000) tunaweka mitaji yetu mikubwa hii yote kwa ajili ya kuifaidisha Bank alafu sisi tunabaki bila chochote.NMB na bank nyingine liangalieni hili tofauti na hapo mawakala wataachana na kazi hii.Asante
SureEleza vizuri mnabakije bila chochote zile asilimia za commission hauzipati kama inavyotakiwa au?
😄 hawa ndo wale hawataki watu waingie hukoKakimbia Uzi wake!!
KAZI ni kipimo cha UTU
Sio Wakala wa kwanza kuyalalamikia mabenk, nshawaskia kadhaa. Nahisi wanaoumia zaidi ni wale wenye mitaji midogo.😄 hawa ndo wale hawataki watu waingie huko