bi mkubwa mwenyewe alikua analalamika watu wanatolea macho 2025 kiasi cha kufanya hujuma, wewe unasema kitu gani aiseehakuna tatizo lolote kwenye chama na serikali sikivu ya CCM gentleman,
na hapajawahi kua na tatizo lolote hata kabla,
huenda baadhi ya wadau wa JF walibebwa ufala wa kifikra na wanasiasa wapiga ramli waliopoteza uelekeo wa kisiasa na hatimae kuaminishwa kwamba eti ndani ya ccm au kwenye serikali sikivu ya ccm paliwahi kua na tatizo.
kwa hakika alieamini hivyo alipotoka.
wewe binafsi ukiwa na tatizo, haina maana na wengine wana matatizo gentleman.
Mgaso Hana miaka mingi dunia ni mzee wa miaka 70+ hawezi affordd kungoja miaka 10 Kusubiria kijana ashike hatamu.Mwinyi ataingia hapo
Ni mbabe wa CCM Pauli Christiani makonda kwani ndiye chaguo la mamaNi muhimu sana kwa wana CCM wenye nia na wanaojianda kwaajili ya nafasi hiyo sasa, labda wajipange kwa 2040-2050. Agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi, full stop.
Niwakumbushe tu na kuwatahadharisha wananchi wote kwamba, hivi sasa tunayo serikali ya wananchi kazini, na ni muhimu sana kwa wale wote wenye dhamana mbalimbali serikalini kuwajibika kwa welidi katika kazi ya kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo. Waachane kabisa na masuala ya uchaguzi wa 2030 wakiwa kazini, la sihivyo wataenguliwa kwenye nafasi zao mara moja.
Na kuzungumzia tu habari za uchaguzi wa 2030, kuna ashiria ulevi wa madaraka na kujisahau. Ni kujaribu kuchonganisha wenye dhamana, kuiyumbisha serikali, kuidhoofisha na kuhujumu utendaji na uwajibikaji wa wenye dhamana mbalimbali serikalini. Na hiyo ni hatari na ina athari kubwa mno katika uongozi na utendaji. Na kuna gharama za kulipa kwenye hilo, ni muhimu kua makini sana na kujiandaa kisaikolojia kuzipokea athari za fikra za uchaguzi wakati una dhamana ya wananchi tayari.
Haikubali kwa watendaji wakuu serikalini, wenye fikra za uchaguzi mkuu wa 2030 kuendelea na wajibu walionao, ni muhimu sana wakaenguliwa haraka katika nafasi zao ili hatimae wapate nafasi nzuri zaidi na muda wa kutosha wa kujiandaa na kujipanga na huo uchaguzi wa 2030.
Na ni vema wakajua kwamba, serikali sikivu ya CCM iko kazini.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kenge hasikii mpaka atoke damu kwenye masikio.Ni muhimu sana kwa wana CCM wenye nia na wanaojianda kwaajili ya nafasi hiyo sasa, labda wajipange kwa 2040-2050. Agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi, full stop.
Niwakumbushe tu na kuwatahadharisha wananchi wote kwamba, hivi sasa tunayo serikali ya wananchi kazini, na ni muhimu sana kwa wale wote wenye dhamana mbalimbali serikalini kuwajibika kwa welidi katika kazi ya kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo. Waachane kabisa na masuala ya uchaguzi wa 2030 wakiwa kazini, la sihivyo wataenguliwa kwenye nafasi zao mara moja.
Na kuzungumzia tu habari za uchaguzi wa 2030, kuna ashiria ulevi wa madaraka na kujisahau. Ni kujaribu kuchonganisha wenye dhamana, kuiyumbisha serikali, kuidhoofisha na kuhujumu utendaji na uwajibikaji wa wenye dhamana mbalimbali serikalini. Na hiyo ni hatari na ina athari kubwa mno katika uongozi na utendaji. Na kuna gharama za kulipa kwenye hilo, ni muhimu kua makini sana na kujiandaa kisaikolojia kuzipokea athari za fikra za uchaguzi wakati una dhamana ya wananchi tayari.
Haikubali kwa watendaji wakuu serikalini, wenye fikra za uchaguzi mkuu wa 2030 kuendelea na wajibu walionao, ni muhimu sana wakaenguliwa haraka katika nafasi zao ili hatimae wapate nafasi nzuri zaidi na muda wa kutosha wa kujiandaa na kujipanga na huo uchaguzi wa 2030.
Na ni vema wakajua kwamba, serikali sikivu ya CCM iko kazini.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kama mwenyewe hajasema na kuonyesha nia, kitendo cha kumtaja, hujamtendea haki!, badala ya kumjengea ndio umemuharibia, kwasababu wana ccm wengine wenye nia, ndoto sifa na vigezo, wataogopa kujitokeza, kwa kumhofia yeye.Ni muhimu sana kwa wana CCM wenye nia na wanaojianda kwaajili ya nafasi hiyo sasa, labda wajipange kwa 2040-2050. Agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi, full stop.