ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
Naomba kuuliza kwenye kuomba mkopo wa elimu ya juu, kuna ulazima wa mzamini kua mzazi wako? Kwa anayejua naomba anifahamishe
Ni mdhamini sio mzamini.Naomba kuuliza kwenye kuomba mkopo wa elimu ya juu, kuna ulazima wa mzamini kua mzazi wako? Kwa anayejua naomba anifahamishe
Ndo bhanaNi mdhamini sio mzamini.
Sio lazima, vipi unataka kujiunga kuitafuta shahada sio...
Ndio bhanaNdo bhana
sio lazima lakini inapendeza ukimweka mzee tena kama maskini inapendeza zaidi.
Oya ivi kama nataka nimuweke dingi alafu yuko mbalii, ila vitambulisho vyake ninavyo naweza kumuandika alafu sehem ya kusain akasaini mtu mwingine kwa niaba yake Ila detail zote namuweka yeyesio lazima lakini inapendeza ukimweka mzee tena kama maskini inapendeza zaidi.
Hakikisha hiyo saini inafanana na saini iliyopo kwenye document zake kama vile kitambulisho cha NIDA,cha mpiga kura nkOya ivi kama nataka nimuweke dingi alafu yuko mbalii, ila vitambulisho vyake ninavyo naweza kumuandika alafu sehem ya kusain akasaini mtu mwingine kwa niaba yake Ila detail zote namuweka yeye
Mkuu na sehem ya kusain serikali za mtaa anatakiwa asain wa kule alipokua bi mkubwa au hata wa huku nilikokua Mimi?Hakikisha hiyo saini inafanana na saini iliyopo kwenye document zake kama vile kitambulisho cha NIDA,cha mpiga kura nk
OkNi lazima awe mzazi.
Sasa kama umeandika nyumbani ni magomeni mapipa na mtaa ni mkadini, atasaini vipi mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa mabibo au mtoni sabasaba???Mkuu na sehem ya kusain serikali za mtaa anatakiwa asain wa kule alipokua bi mkubwa au hata wa huku nilikokua Mimi?
Kila kit niligushi mm aisee had nikawa najishtukia..kitu kusoma ewaaaaa78%Oya ivi kama nataka nimuweke dingi alafu yuko mbalii, ila vitambulisho vyake ninavyo naweza kumuandika alafu sehem ya kusain akasaini mtu mwingine kwa niaba yake Ila detail zote namuweka yeye
Hahahaahhahaa sawa bhana broo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kila kit niligushi mm aisee had nikawa najishtukia..kitu kusoma ewaaaaa78%
So dogo relax
Nimekuelewaaaaa[emoji3][emoji3]Sasa kama umeandika nyumbani ni magomeni mapipa na mtaa ni mkadini, atasaini vipi mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa mabibo au mtoni sabasaba???
Watasaini maafisa wa serikali ya mtaa husika ulioutaja kwenye fomu zako
Broo kwenye chet changu cha kuzaliwa jina la mzee linaonekana hivi hamis omari zuber lakini kwenye kitambulisho chake cha kura jina linaonekana hivi hamisi O. zuberi naweza kumtumia? Au itakua shidaKila kit niligushi mm aisee had nikawa najishtukia..kitu kusoma ewaaaaa78%
So dogo relax
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwelii dingiiiHaya mambo ya mikopo yaache tu
Utakuja kuelewa majina yakianza kutoka, kama unagundu unagundu tuu
Hakikisha pia unaweka passport yake inayofanana na picha iliyopo kwenye document zakeOya ivi kama nataka nimuweke dingi alafu yuko mbalii, ila vitambulisho vyake ninavyo naweza kumuandika alafu sehem ya kusain akasaini mtu mwingine kwa niaba yake Ila detail zote namuweka yeye
Haina shida mzee jaribu unaweza ukabahatikaBroo kwenye chet changu cha kuzaliwa jina la mzee linaonekana hivi hamis omari zuber lakini kwenye kitambulisho chake cha kura jina linaonekana hivi hamisi O. zuberi naweza kumtumia? Au itakua shida