yah!lazima uombe kwa maandishi,labda uwe unakwenda kumwona mzito, niliwahi kwenda pale kwa ajili ya project flan hivi,kamera zilizuiliwa mlangoni, kuhusu pink diamond inayopatikana pale chini ya Petra Diamonds company tulielezwa,tulipoanza kuuliza kuhusu mrabaha tu,amri ikatoka huko,tukasindikizwa mpaka maganzo,tukapewa makaratasi tu yakumalizia project!