Kuhusu Mtandao mpya wa SMART LET'S TALK

Mkuu upo serious au unatuchekesha tu
2 Megapixel mbona ni vipimo vya Camera na vitu kama hivo

Au ulimaanisha 2Megabits/sec

Kheee nimekosea,labda ngoja nisome tena ni kipimo gani...mweee
 
pOLE SAmKUU WANGU, Inachanganya unaweza sema Mdudu ndani ya screen
 
Nlisikia Dar wana mpango wa kuweka 4G ndio maana hawajaweka 3G...
yaah!! hata mm niliwapigia huduma kwa wateja wakasema hawana 3G hapa mjini Koz wanatakaa kuweka 4G lakini nilipowauliza kuhusu lini watakuwa wanapatikana kwa 4G hawakunipa muda sahihi zaidi ya hivi pundee..!!!
ngoja tuwasikiliziee pengine wanawezaa kuwa msaada hapa mjinii..
 
me nimewapigia cm inakata nimeangalia nimeona nzuri kwa mawasiliano 499 mtu inatosha kuongea mpaka basi but sijajua line zake zinapatikanaje wakuu
 
Ila pia nlickia kuwa huu mtandao kene cmu kama tecno na huawei haufanyi kaz unataka smartphones kama samsung,iphone na mengine ambayo ni known worldwide
 

Nisaidie maana mimi ni mvivu wa kufikiri...Eti 079 si ni code ya Benson Informatics??? Je Smart ni mtandao mpya au Jina jipya?
 
Nisaidie maana mimi ni mvivu wa kufikiri...Eti 079 si ni code ya Benson Informatics??? Je Smile ni mtandao mpya au Jina jipya?

Nahisi wameuza rights maana hata sim cards zao zimeandikwa BOL, halafu tunaambiwa hawa ni Agakhan foundation.
 
Nahisi wameuza rights maana hata sim cards zao zimeandikwa BOL, halafu tunaambiwa hawa ni Agakhan foundation.

Basi kuna mtu alisema kua BOL wameuzwa kwa Aghakhan foundation

Rejea thread: Kuhusu Mtandao wa BOL
 
Basi kuna mtu alisema kua BOL wameuzwa kwa Aghakhan foundation

Rejea thread: Kuhusu Mtandao wa BOL

BOL ndio Smart hao hao ambao Aghakhan Foundation walivyonunua walikuwa wanaitwa BOL ila sasa ni SMART kwahio BOL ndio hao hao SMART

In short nadhani bado inabidi wajipange issue ya sim card zao kuchagua simu na modem linawapunguzia sana soko
 
Kuuliza sio ujinga. Hivi line zao zitatumika kupiga simu??
 

Inaweza ikasoma kwenye simu zenye ziko locked toka usa??


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Inaweza ikasoma kwenye simu zenye ziko locked toka usa??


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

Jaribu its only buku mbili hauna cha kupoteza mimi nilijaribu ikagoma kwenye modem zangu kama tatu nikaiweka kando.., jamaa wameniambia inakubali kwenye modem ya Huawei ambayo mimi sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…