Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Ubovu DAR hawataki kuwekeza maana wanajua 3G Sio shida nafikiri hii mitandao miwili imekuja na akili kubwa tu
Coverage yake ikoje kwa nchi nzima?
Kwa hapa dar hizo laini zinauzwa bei gan na vocha kabla hatujaunga tujaribishe kwa mb nione kama kitu cha kobe au
Wadau wamesema hapa Dar ni 2G hivo hapo hamna cha cheetah speed ni konokono speed lkn wataweka 4G labda itafanya miracle
uko poa sana huku mbinga ..kuna jamaa yangu anayo line yao...ni very fast afu siku nzima anatumia buku tu full kudownload....naomba mtu aliyeko huko mjini anitumie line jamani coz huku kwetu bado hawajafika
kwa wale walio tumia hapa dar download speed inafika ngapi
Inafika 2megapixel