Kuhusu mpaka wa Zanzibar na Tanganyika

Kuhusu mpaka wa Zanzibar na Tanganyika

Kabla ya 1885 Africa hakukuwa na mipaka ila baada ya hapo kukawepo na mipaka baada ya Berlin conference ila hakunaga marekebisho ya mipaka kwa tanganyika na znz yaliyowahi kufanyika hivyo tukirudi kwenye mkataba ya scramble and partition for Africa still zanzibar inabaki kuwa na umiliki halali wa pwani ya tanganyika
 
Napendekeza tuachane na huu uzi.Mengi ya kweli na uwongo yanaweza ibuka yakatuchanganya kama ya Malawi/Ziwa Nyasa.
 
Samahani mleta mada,
wewe ni Mtanganyika au Mzanzibari?
 
Napendekeza tuachane na huu uzi.Mengi ya kweli na uwongo yanaweza ibuka yakatuchanganya kama ya Malawi/Ziwa Nyasa.

Kaka ziwa moja majina tofauti,Tz linaitwa ziwa nyasa, Malawi wanalitambua kwa jina la Ziwa Malawi, apo vp
 
Back
Top Bottom