Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 431
- 61
Je uliandika barua ya kusitisha masomo ?
Maana ukiwa na carry lazima uingie darasani usome upya,hapo unakua unahesabika kama mwanafunzi,
Usipofanya mpaka muda wa carry kuisha unadisco automatic,
Ila kwa vile SAUT ni chuo cha private we jitoe ufahamu uende ukaulize, wakikuhoji singizia uliugua kisukari kwa muda mrefu ukawa huoni vizuri, wakidai ushahidi jiongeze mahospitali mengi tu zama huko kisha Fanya mchongo,
Kila la kheri mkuu.
Sisi ni watu wazima, tunajua kila kitu.ujue wewe ni mkorofi, yeye kasema jamaa yake wewe unamshauri kama yeye
Hata kama akikubaliwa bado ana carry mbili, na inavyoonekana ni za masomo magumu ndio maana alizikimbia,Inategemea kama alitoa taarifa chuoni kua hataweza kuja kusoma hayo masomo kwa semester husika, hivy unahairishwa huo mpango! Lakin kama hakuenda chuo kutoa taarifa, na ajaze zile form zao za postponing, asahau!!
Wewe jamaa kwa michongo hatari aisee.Je uliandika barua ya kusitisha masomo ?
Maana ukiwa na carry lazima uingie darasani usome upya,hapo unakua unahesabika kama mwanafunzi,
Usipofanya mpaka muda wa carry kuisha unadisco automatic,
Ila kwa vile SAUT ni chuo cha private we jitoe ufahamu uende ukaulize, wakikuhoji singizia uliugua kisukari kwa muda mrefu ukawa huoni vizuri, wakidai ushahidi jiongeze mahospitali mengi tu zama huko kisha Fanya mchongo,
Kila la kheri mkuu.
Ishu siyo masomo magumu, alifata protocal za kutokuja kusoma masomo? Ishu ipo clear kama alifata utaratibu.Hata kama akikubaliwa bado ana carry mbili, na inavyoonekana ni za masomo magumu ndio maana alizikimbia,
Kufanya carry ni sawa na kubeti, ukizingua bye bye.
Ni yeye huyo hapo katumia code ya rafiki yake kubumba huu uziujue wewe ni mkorofi, yeye kasema jamaa yake wewe unamshauri kama yeye
Njoo PMDuh hapo kwenye kuandika barua sidhani kama alifanya, na ukiwa disqualified ina maana ukitaka kurudi chuo unaaply upya first year?manake sasa haya Ni majanga
Kaja kivingine, lakini ndiye. Vyuo vyetu havina utaratibu wa kuhamisha credits?!ujue wewe ni mkorofi, yeye kasema jamaa yake wewe unamshauri kama yeye
Ni yeye huyo hapo katumia code ya rafiki yake kubumba huu uzi
Ni yeye huyo hapo katumia code ya rafiki yake kubumba huu uzi
Je uliandika barua ya kusitisha masomo ?
Maana ukiwa na carry lazima uingie darasani usome upya,hapo unakua unahesabika kama mwanafunzi,
Usipofanya mpaka muda wa carry kuisha unadisco automatic,
Ila kwa vile SAUT ni chuo cha private we jitoe ufahamu uende ukaulize, wakikuhoji singizia uliugua kisukari kwa muda mrefu ukawa huoni vizuri, wakidai ushahidi jiongeze mahospitali mengi tu zama huko kisha Fanya mchongo,
Kila la kheri mkuu.
ujue wewe ni mkorofi, yeye kasema jamaa yake wewe unamshauri kama yeye
Ni yeye huyo hapo katumia code ya rafiki yake kubumba huu uzi
Sema ni Mimi nina hivyo vimeo, uzuri humu ndani hatujuani kwa majina halisi. Sasa ya nn kutolea mf kwa jamaa yako wakati unajua ni wew
Kaja kivingine, lakini ndiye. Vyuo vyetu havina utaratibu wa kuhamisha credits?!
Aliye andika thread ndo mhusika mkuu!π