nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Mimi Hupata Taarifa Zake Kwenye Tanzania Daima Daily,mzee Yupo Vizuri Team Yake Yumo Pia Kamanda Cecillia Pareso
Kumekua na taarifa za kupotosha kuhusu Mgombea mwenza wa UKAWA Mh.Juma Duni na kutaka kuleta propaganda za kupuuzi kuwadanganya Watanzania! Ifahamike kwamba Mgombea huyu anafanya kazi kubwa sana kupiga kampeni pamoja na baadhi ya Viongozi wa vyama washirika vya UKAWA kama Ndugu Issa Mohamedi M/kiti CHADEMA Zanzibar, na Viongozi wengine waandamizi wa CUF taifa. Kama tunavyoelewa kwa hali ya kisiasa iliyo wakati huu ambapo vyombo vingi vya habari vimekua haviripoti kwa makusudi matukio mengi ya UKAWA ikiwa ni pamoja na mikutano ya Mh Duni.Kwa wanaofuatilia vizuri ni kwamba Mh Duni anafanya kazi kubwa sana kuhakikisha UKAWA wanashinda ushindi wa kishindo.
Pia ifahamike kua Kazi kubwa ya Mh Duni ni kuhakikisha kwamba kura zote za wanaCUF bara na visiwani zinaenda kwa wagombea wa vyama vinavyounda UKAWA maana ndicho chama alichikiwakilisha siku zote! Hakuna mwananchi asiyefahamu kwamba ni kwanini Mh Duni amejiunga CADEMA, kazi yake kubwa ni kuhakikisha maslahi ya CUF yanalindwa ndani ya UKAWA ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wagombea wote wa CUF ngazi zote walikosinamishwa wanaibuka kidedea.Mh Duni alijiunga CHADEMA ili kukidhi matakwa ya sheria ya Uchaguzi ili kuunganisha nguvu ya vyama vyote vya UKAWA.
Kuna watu humu wabapotosha kwamba Mh Duni katengwa kwenye kampeni na CHADEMA kitu ambacho ni uongo uliokubuhu na ni wa kupuuzia mbali! Ukweli ni kwamba Mh Duni yupo ndani ya kampeni kila siku ingawa baadhi ya vyombo vya habari havioneshi matukio hayo kwa sababu zao binafsi. Baadhi ya vyombo vya habari tukiacha Radio one, ITV na baadhi ya magazeti vinaona aibu ndio maana vinajaribu kuonesha japo kidogo tena kwa kuficha kampeni za Mgombea urais wa CHADEMA Mh Lowassa, sasa kama kwa Lowassa ni hivyo unafikiri kwa Mh Duni itakuaje?
Wanaohoji kuhusu UKIMYA wa Juma Duni ni wana UKAWA wenzenu. Sasa sijui hizi porojo mnazitoa wapi
Punguza mihemko kwanza mkuu tuelewane! Nijuavyo Mimi hakuna magazeti yaliyonunuliwa ispokua yanaripoti matukio kwa kufuta misingi ya kiuandishi, magazeti hayo ni Mwananchi,Nipashe,Majira,Tanzania Daima,Mtanzania na RAI. Haya mengine hasa Yale ya serikali kama Habari Leo na Daily news siwezi kuyasemea sana maana ukweli unao! Hivi Magazeti kama Raia mwema na Dira ya Mtanzania sikuamini kama yangefikia kutumia mpaka aibu.Kwenda huko! magazeti yote yamenunuliwa na Lowasa unajifanya hujui!? unaposema eti magazeti hayaripoti vizuri habari za ukawa ulitaka waandike hata ambayo hayapo! Lowasa out...!
Punguza mihemko kwanza mkuu tuelewane! Nijuavyo Mimi hakuna magazeti yaliyonunuliwa ispokua yanaripoti matukio kwa kufuta misingi ya kiuandishi, magazeti hayo ni Mwananchi,Nipashe,Majira,Tanzania Daima,Mtanzania na RAI. Haya mengine hasa Yale ya serikali kama Habari Leo na Daily news siwezi kuyasemea sana maana ukweli unao! Hivi Magazeti kama Raia mwema na Dira ya Mtanzania sikuamini kama yangefikia kutumia mpaka aibu.
Duh! Hizi ni propaganda za kipuuzi aiseee? Hao mnaowasema ITV wanaonesha mpaka mikutano ya CHAUMA. Sasa inakuwaje mikutano ya Juma Duni Haji inashindwa kurushwa hewani? Pia kuna Channel Ten ambayo kila siku inaripoti habari za Lowasa.
Vipi kuhusu Juma Duni Haji? Then umesema kuwa Juma Duni Haji ameletwa ili kuhakikisha haki za CUF ndani ya UKAWA zinalindwa. Zitalindwaje sasa ilhali Juma Duni Haji si mwanachama tena wa CUF?
Tamko hili limeandaliwa na mtu mjinga kupita wote ndani ya CHADEMA
Kwenda huko! magazeti yote yamenunuliwa na Lowasa unajifanya hujui!? unaposema eti magazeti hayaripoti vizuri habari za ukawa ulitaka waandike hata ambayo hayapo! Lowasa out...!
Duh! Hizi ni propaganda za kipuuzi aiseee? Hao mnaowasema ITV wanaonesha mpaka mikutano ya CHAUMA. Sasa inakuwaje mikutano ya Juma Duni Haji inashindwa kurushwa hewani? Pia kuna Channel Ten ambayo kila siku inaripoti habari za Lowasa.
Vipi kuhusu Juma Duni Haji? Then umesema kuwa Juma Duni Haji ameletwa ili kuhakikisha haki za CUF ndani ya UKAWA zinalindwa. Zitalindwaje sasa ilhali Juma Duni Haji si mwanachama tena wa CUF?
Tamko hili limeandaliwa na mtu mjinga kupita wote ndani ya CHADEMA
Duni Hadji ana mission kubwa ya kuipatia Zanzibar mamlaka kamili, hivyo hawezi kujitoa sasa hata mkimtemea mate usoni. Hawezi jitoa..! Ibara 37(5) ya katiba ya JMT inamuahidi Babu Duni urais.
Kwa kuzingatia ukweli kuwa japo maradhi ya mgombea urais si ya kumtoa duniani Leo au kesho ila itafika muda mahakama itamtaja kuwa hana sifa ya kuendelea kushika wadhifa huo. Hatua hiyo itamfanya Duni akabidhiwe mikoba rasmi. Hapo mission itakuwa complished.
Wacha kukurupuka wewe!!