Kuhusu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii-NSSF

Kuhusu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii-NSSF

lushalila

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
282
Reaction score
109
Mimi ni mhanga wa kupoteza ajira kutoka mwaka Jana mwezi wa kumi na moja. Nimefuatilia kupata mafao yangu hadi leo hakuna kinachoeleweka ni kalenda tu. Kila ninayemwona pale anasikitika hakuna anayetoka na jibu la matumaini.

Hivi hii ndio sera ya mfuko au ya serikali au ni bahati mbaya tu?
 
Back
Top Bottom