Unit 1 maana yake ni ndoo 50 za lita 20.Wakuu naomba kuuliza Jana nimefunga meter ya Maji baada ya kuchukua bomba toka kwa jirani yangu nyumba anaishi kijana tu sasa tumeamka asbh meter inasoma unit moja wakati jana tulichota ndoo mbili tu
Maji yalikuwa yamekatika Sasa wewe ukafungua kwenye mita na kwenye bomba ili yakija ujue?
Kama ulikuwa umefanya hivyo mita ilikuwa inazunguka ndo maana inasoma ivo.
Upo sahihi mkuuUnit 1 maana yake ni ndoo 50 za lita 20.
Kuna mambo kadhaa yatakua yametokea.
1. Bomba lilikua na upepo/hewa.
2. Umeibiwa maji.
3. Mita mbovu.
4. Kuna leakage.
Nakushauri urudi kwa mamlaka husika wakubadilishie mita.
NB: Hata kama mita ni mbovu jua kabisa watakataa cha kufanya waombe muitest wakiwepo au waiondoe kabisa waweke mpya. Na hiyo mpya hakikisha mmeitest kabla labla hawaja ondoka.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app