Memory card inaweza kupunguza performance ya simu endapo:wadau ninaomba kufahamu je! unapoweka memory card yenye ujazo mfano 16gb na simu yenyewe unayotumia ina 16 gb internal storage utakuwa umepunguza tatizo la simu kutokurun vizuri!
Hapo sasa ndio mtihani. Unatakiwa kuangalia mahali unaponunua, na beiNitajuaje kama ni class10 na ni original
Nitajuaje kama ni class10 na ni original
mkuu nitajuaje kua simu hii inahitaji memorycard yenye class flaniMemory card inaweza kupunguza performance ya simu endapo:
Umeinstall applications kwenye hiyo memory card na memory hiyo ipo chini ya kiwango kinachohitajika na simu husika, hapo naongelea READ/WRITE SPEED ya memory card ambayo inaelezwa kwa kuangalia CLASS ya memory card , class ya juu ni class 10, lakini pia iwe ni origino sio CLASS 4 memory card imepachikwa label ya CLASS 10.
Memory card pia kama kifaa cha electronic huwa zinatofautiana katika matumizi ya umeme(Battery/power consuption). Kuna memory zinatumia power kubwa na kusababisha battery kutumika zaidi.