HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?
hivi Boflo ndo haya ulikuwa unasoma darasani siku zote hizi haupo humu!?
maswali gani haya?
sa unataka useme ni raha kwa mwanaume kushika kalio!uuuuwih!mi unanipa shida wewe mtu ahahhahahhahhahahhahah haya bana!ngoja nimwite watu8 ,e bana mtani eeeeh umemsikia swahiba wetu my dear wangu mi ananishangaza ujue!ah!
nimemsikia mtani na nimemuwahi hapo juu kabisa...
pole boflo, hafu ndo umewaachia wenzio waseme we husemi mbona
huyo ndio Boflo, huwa anachokoza wanajamvi halafu ye anajiweka kando...
Boflooooo
wanaume wengi wamechezewa makalio na mama zao wakiwa waduchu
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?
kweli eeeh??
so how does it feel? do you remember the feeling??
Halafu akipima oil itakuwaje?
Sidhani kama mwanaume rijali anaweza kufurahia vitendo kama hivi, kwa upande wangu naona si kitendo kizuri. By the way, umewaza nini Boflo kuuliza swali kama hili?
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?
yaani mnakosa raha sana nyie me mnaokataa.. inaongeza ladha sana hii sasa upate anayejua kupitisha na kaulimi lool lazma umgande.
kupitisha kaulimi wapi hapo?
ah wowowo ya mwanamke safi sana kuichezea na kulimondya mondya hahaha
mie napenda sana demu apapase makalio yangu na kuya squeeze