Habari zenu wadau, nilikua nauliza km kuna mtu anafahamu upatikanaji wa mashine za kukobolea nakusaga nafaka pamoja na bei yake, tafadhali naomba anijuze..
Kuna chimbo nimekuta kuna mashine ya kusaga na kukoboa Mpya kabisa hazijawahi kutumika za ZZK Mbeya ngoja nikuangalizie kama tunaweza kufanya biashara.