Siku za karibuni pamekuwa na matamasha, mikutano na maandamano ya kumpongeza mtu mmoja mzalendo kuliko wote Tanzania.
Je, viongozi wote waliopita yeye ndo kafanya jambo la muhimu kufanya kila siku watu wasifanye kazi na kubaki kumpongeza.
Je, kwa pongezi hizo hapata tokea ushauri wa kumuongezea muda wa kuongoza?
Tulisema hapa kazi tu. Je kazi ni kupongeza.
Huku kupongeza ni kudanganyana kama anajiamini aseme wanaompinga pia wajionyeshe wazi nahakika angehamaki
Umenena vyema,huu unafiki utaisha lini?
Upumbavu huu ataondokaje ktk nchi hii ya laana?
Naomba waruhusu watu wanaompinga waone barabara zitakavyo jaa
hapo mwanzo wanaccm waliponda sana kuhusu maandamano ya wapinzani.leo ndo wanahamasisha. kwa kweli taifa letu kwa unafiki ni hatar
We unayejua tujuzeYaaåni ni ww tu hujui kwanini anapongezwa
Yaaåni ni ww tu hujui kwanini anapongezwa