Kuhusu maandamano na matamasha ya mkumpongeza.

singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
4,365
2,000
Siku za karibuni pamekuwa na matamasha, mikutano na maandamano ya kumpongeza mtu mmoja mzalendo kuliko wote Tanzania.

Je, viongozi wote waliopita yeye ndo kafanya jambo la muhimu kufanya kila siku watu wasifanye kazi na kubaki kumpongeza.

Je, kwa pongezi hizo hapata tokea ushauri wa kumuongezea muda wa kuongoza?

Tulisema hapa kazi tu. Je kazi ni kupongeza.
Huku kupongeza ni kudanganyana kama anajiamini aseme wanaompinga pia wajionyeshe wazi nahakika angehamaki
 
kakison Alfred

JF-Expert Member
Aug 17, 2014
364
250

Umenena vyema,huu unafiki utaisha lini?
Upumbavu huu ataondokaje ktk nchi hii ya laana?
Naomba waruhusu watu wanaompinga waone barabara zitakavyo jaa
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
Wamepiga vita maandamano,kumbe yaliyopigwa vita ni ya kukosoa serikali!
Wanakwaya walipoandamana kwenda kutoa sauti zao Gwajima aliposhikiliwa kwa tuhuma za kughushi na za chuki za bashite,JPM alimshangaa IGP na kusema "i wish i could be IGP"!
Kazi kwenu Polisi mtakaoruhusu hayo maandamano,Rais hapendi maandamano!
 
lukesam

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
10,686
2,000
Mambo ya ajabu sana haya..

Mimi naamini mtu anayefanya mazuri hana haja ya kuyatangaza,yataonekana tu!

Wale wanaopenda kuonwa wameshamjulia huyu bwana ni nini anapenda, wanamfurahisha!
 
scooman

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,004
2,000
Umenena vyema,huu unafiki utaisha lini?
Upumbavu huu ataondokaje ktk nchi hii ya laana?
Naomba waruhusu watu wanaompinga waone barabara zitakavyo jaa

Mtu mwingine anaweza fanya jambo akawa anapongezwa kumbe hata yeye mwenyewe hajui alilifanyaje fanyaje anakuwa kama aliotea tu
 
Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,120
2,000
Rais Dr Magufuri anavikwa kiremba cha ukoka
 
Attachments

  • IMG-20170624-WA0020.jpg
    File size
    64.9 KB
    Views
    28

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,471
2,000
hapo mwanzo wanaccm waliponda sana kuhusu maandamano ya wapinzani.leo ndo wanahamasisha. kwa kweli taifa letu kwa unafiki ni hatar

Halafu walikuwa wanasema kila siku kuandamana eti kazi mtafanya saa ngapi. Kweli Mungu hamfichi mnafiki. Yale yale bunge live hapana kisa watu wafanye kazi kwa kuwa bunge linafanyika muda wa kazi. Hivi leo hata tu kumuapisha mkuu wa mkoa ni live tena saa 4 asubuhi. Baada ya hapo ni hotuba ya vijembe dhidi ya Tundu Lissu.
 
Eternal_Life

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
814
1,000
Watu wanajitekenya na kucheka wenyewe.Tatizo la akili ndogo zinazoongozwa na tumbo.Sijaona cha maana cha kufanya watu wapongezane.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom