Haliko sawa ni wivu na roho mbaya tuHiki kitendo cha bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwanyima mikopo wanafunzi ambao wametoka private school hakipo sawa hata kidogo kwa sababu zifuatazo:
Kwa mtazamo wangu Mimi huyu mzazi ameisaidia serikali kwa kuchukua jukumu la kumsomesha mtoto wake yeye mwenyewe kuanzia chekechea hadi kidato cha sita kiuhalisia jukumu la kumsomesha huyu mtoto lili kuwa ni la serikali hivyo hapa mzazi anakuwa ameisaidia serikali.
Huyu mzazi pia analipa kodi kama wananchi wengine hivyo na yeye anamchango wake katika huo mfuko wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu maana bodi ya mikopo inaendeshwa kwa kodi za wananchi sasa iweje walipa kodi wengine wafaidi matunda ya kodi zao na wengine wanyimwe kufaidi matunda ya kodi zao.
Nasema huyu mzazi ameisaidia serikali kwa sababu ikitokea Leo hii watoto wote wanaosoma private school kuanzia chekechea hadi kidato cha sita wazazi wao wakiamua kuwarudisha katika shule za serikali ina maana mzigo wa serikali kusomesha watoto wa wananchi utakuwa umeongezeka serikali itabidi ianze kuongeza vyumba vya madarasa na walimu pia hivyo kumbe hawa wazazi wanaisaidia serikali sasa kwa nini waadhibiwe kwa hilo.
Pia inawezeka huyu mzazi kipindi hicho alikuwa na mishemishe zake za kumuingia kipato akamua ni bora amsomeshe mwanawe private school lakini leo hi mtoto amemaliza kidato cha sita na mzazi mishe zimekata mtoto wake anakosa mkopo wa elimu ya juu na kushindwa kutimiza ndoto zake kwa kweli hili halipo sawa.
Tupe hivyo vipaumbele.Mikopo wapate wenye kipaumbele. Budget yenyewe ukute haitoshi wanafunzi wote.
Asilimia kubwa wa waliosoma shule za serikali ni kutoka familua zisizojiweza.Tupe hivyo vipaumbele.
Chonde chonde ,kama unaweza mlipia mwanao ada ya chuo mlipie....mkopo wa HESLB ni ulemavu wa kudumu ,mwanao atateseka sana narudia atateseka sana kwenye harakati za kuulipaHiki kitendo cha bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwanyima mikopo wanafunzi ambao wametoka private school hakipo sawa hata kidogo kwa sababu zifuatazo:
Kwa mtazamo wangu Mimi huyu mzazi ameisaidia serikali kwa kuchukua jukumu la kumsomesha mtoto wake yeye mwenyewe kuanzia chekechea hadi kidato cha sita kiuhalisia jukumu la kumsomesha huyu mtoto lili kuwa ni la serikali hivyo hapa mzazi anakuwa ameisaidia serikali.
Huyu mzazi pia analipa kodi kama wananchi wengine hivyo na yeye anamchango wake katika huo mfuko wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu maana bodi ya mikopo inaendeshwa kwa kodi za wananchi sasa iweje walipa kodi wengine wafaidi matunda ya kodi zao na wengine wanyimwe kufaidi matunda ya kodi zao.
Nasema huyu mzazi ameisaidia serikali kwa sababu ikitokea Leo hii watoto wote wanaosoma private school kuanzia chekechea hadi kidato cha sita wazazi wao wakiamua kuwarudisha katika shule za serikali ina maana mzigo wa serikali kusomesha watoto wa wananchi utakuwa umeongezeka serikali itabidi ianze kuongeza vyumba vya madarasa na walimu pia hivyo kumbe hawa wazazi wanaisaidia serikali sasa kwa nini waadhibiwe kwa hilo.
Pia inawezeka huyu mzazi kipindi hicho alikuwa na mishemishe zake za kumuingia kipato akamua ni bora amsomeshe mwanawe private school lakini leo hi mtoto amemaliza kidato cha sita na mzazi mishe zimekata mtoto wake anakosa mkopo wa elimu ya juu na kushindwa kutimiza ndoto zake kwa kweli hili halipo sawa.
Vipi kama huna uwezo wa kumlipia ada ya chuo mwanao na amesoma private schoolChonde chonde ,kama unaweza mlipia mwanao ada ya chuo mlipie....mkopo wa HESLB ni ulemavu wa kudumu ,mwanao atateseka sana narudia atateseka sana kwenye harakati za kuulipa
Kwanza huo ni ubaguzi pili hizo ni pesa za walipa kodi wote siyo za wasiojiweza tuu kwa hiyo zitumike kwa wote kwa maana inawezekana uwezo wa sekondari alikuwa nao lakini chuo hana.Asilimia kubwa wa waliosoma shule za serikali ni kutoka familua zisizojiweza.
Mzazi aliyemsomesha mwanaye st Mary's hawezi shindwa mlipia mtoto ada ya chuo.