Kuhusu kutoa bikra

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
624
Habari wakuu.
Mi bwana naomba niulize tuu hili swala la mtu from nowhere au hata kama ni mwanafamilia kung'ang'ania kutoa bikra ya mkeo ana maana gani? Whats so special kwamba mimi mwanaume nisiitoe mwenyewe badala yake huyo mtu wa familia aitoe?

Nina hasira sana kwa sababu hii sio first time ni mara ya pili namshangaa huyu mtu anaandama na bikra za wake wangu tuu!
Unajua nini yeye mwenywe anafahamu vizuri sana kwamba hili jambo silitaki hata kama niliwahi sikia kwa akina mama flani wakitengeneza njia kwa kijana wao. Hili swala silitaki kabisa na moja kwa moja nalihusisha na mambo ushiirikina/giza kwa sababu hii familia yangu ni mkosi tupu wanafamilia kadhaa ndio ulimwengu wao huo... kwanza kabisa sitaki niione kabisa hii familia maishani mwangu.

Hiko kitu unachopambana nacho ili utoe bikra ya mke wangu ni nini? Unajua sikupendi na nina ishi na wewe kwa mashaka sasa nini? Hapana sio bure kuna jambo hapa tena baya sana hata liwe zuri sitaki kwa sababu nafsi haitaki na huwa sigeuki nyuma na no discussion. Ni mimi na biblia na MUNGU wangu tuu sina muda na binadamu wasiomcha MUNGU wa kweli.
Ivi katika hali ya kawaida utamlazimishaje mtu kitu asichokitaka?
I know you very well in-out yes nyinyi ni wanafiki, washirikina na mko tayari muue au mtoe kafara watoto wenu na ndugu zenu ili mchume mali na muwe matajiri na mimi nikiwa mfano wa nilieponea kwenye tundu la sindano.

Mshindwe katika jina la Yesu Kristo alie hai nyie mwataka kujifanya wema wakati mnataka mfanye matambiko yenu ya kichawi mshindwe kwa jina la Yesu Kristo. Na kwa vile hilo jina mnalitumia vibaya basi tumuachie MUNGU atende jukumu lake.


NB: Pengine ni masuala ya mila kwa sababu nimewahi yasikia, huko ndipo ushirikina ulipolala ukisikia mambo yanayohusu damu kaa mbali kabisa na hayo mambo. Uhai wa mtu upo kwenye damu! So i don't care nachotaka mambo yangu nifanye mwenyewe kwa uhuru na amani.
Eeeeh MUNGU wangu niepushe na haya matatizo.



Update
Kuna watu humu wanamfunika/msitiri mhusika/mwenzao kwa hali na mali huku wanajuana vizuri sana kwa maovu yao... yote tumwachie MUNGU siku atakapotoa surprise tutaona mtakavyo wafunika/walinda wenzenu dhidi ya hiyo suprise. Vya sirini vitawekwa wazi tuu hata mumsitiri mwenzenu vipi.
 
Kwa hiyo umeoa wake zako, hujakutana nao, wanataka kukutengenezea njia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi kaandika kama anaongea na huyo mkata utepe so maandishi yake yana akisi hasira na ghadhabu dhidi ya huyo tighter wake ambaye anataka kula masurufu ya dogo kwa vile tu yeye ndo mjini.
 
Hivi hizi mila dhalimu bado zipo kwenye jamii yetu hii ya utandawazi?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…