Kuhusu kufutwa majina ya mkopo

Kuhusu kufutwa majina ya mkopo

David kulwa

Member
Joined
Sep 18, 2016
Posts
29
Reaction score
2
Wana JF kuna taarifa zimezagaa kwamba bodi ya mikopo imefuta majina ya waliopangiwa mkopo na kuanza process upya kuna ukw wowote hapa ¿
 
Ni kwel jana TV 1 nilikuwa nikifatilia sakata hili na mwenyekiti Wa marais Wa vyuo vyote Tanzania alidhbitisha hilo, mchakato unafanywa upya kutokana na pesa waliyokuwa wametowa kuto kidh haja za wanavyuo!
Mimi pia nlifatilia jamaa alieleza hvyo
 
mpaka sasaivi majina mapya yameshafika chuoni (muhas) mambo si shwari hata kidogo wengi kukosa mkopo(tuition fee)
 
Back
Top Bottom