dorge JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 235 Reaction score 365 Jun 17, 2025 #1 Hapo awali kabla ya mfumo wa ess kwa wale watumishi ilikiwa rahisi. Tuliweza kutopup hata baada ya miez sita. Niulize wadau mlioko benki. Huko kuna mabadiliko gani. Kwa nini TOPUP inakuwa ngumu hata baada ya miezi tisa mwaka?
Hapo awali kabla ya mfumo wa ess kwa wale watumishi ilikiwa rahisi. Tuliweza kutopup hata baada ya miez sita. Niulize wadau mlioko benki. Huko kuna mabadiliko gani. Kwa nini TOPUP inakuwa ngumu hata baada ya miezi tisa mwaka?
dorge JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 235 Reaction score 365 Jun 17, 2025 Thread starter #2 Att. NMB CRDB BOA bank 🏦
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 8,551 Reaction score 20,346 Jun 17, 2025 #3 dorge said: Hapo awali kabla ya mfumo wa ess kwa wale watumishi ilikiwa rahisi. Tuliweza kutopup hata baada ya miez sita. Niulize wadau mlioko benki. Huko kuna mabadiliko gani. Kwa nini TOPUP inakuwa ngumu hata baada ya miezi tisa mwaka? Click to expand... Subiri mkopo uishe ukope tena, you will enjoy
dorge said: Hapo awali kabla ya mfumo wa ess kwa wale watumishi ilikiwa rahisi. Tuliweza kutopup hata baada ya miez sita. Niulize wadau mlioko benki. Huko kuna mabadiliko gani. Kwa nini TOPUP inakuwa ngumu hata baada ya miezi tisa mwaka? Click to expand... Subiri mkopo uishe ukope tena, you will enjoy
Ritual Senior Member Joined Jun 13, 2025 Posts 163 Reaction score 182 Jun 18, 2025 #4 Mkuu hebu fika offside za benki husika update mwongozo sahii