Kuhusu kilichoandikwa mapema leo kunihusu

Hongera kwa kuelewa na kuheshimu katiba ya chama chako. kama mwanachama hunabudi kufata misingi na taratibu za chama ili kuepusha migogoro na marumbano yasiyo na tija.
 
Dogo MatolaKwa Chadema kila mtu ni msemaji, wewe,Yeriko,Mungi,Arushaone,Le ma nk...........kila mtu husemea chama.......na kwasababu Dr.Slaa kwa sasa ni mgombea Ubunge wa JF amekuwa aki-like post zenu. Hata kama JF ingekuwa jimbo chadema haiwezi kushinda milele!

We falla acha kunizoea, usidhani mimi niko hapa kutafuta shoga wa kumsodoma, kaa mbali na mimi kabisa pimbi wewe.
 
Binafsi sioni tatizo labda uliwadokeza kidogo, jipange tu.
 
Acha kutikisa kibiriti. Unapima urefu wa kisima kwa kutumbukia mzimamzima, utazama!!!!!!!!!
 
Duh! Naona ni dhahiri jamaa kaonesha jinsi hiki Chama kilivyo cha kizushi ni dhahiri waganga njaa wamejiumbua jamaa kastukia mchezo mlikua mnataka mkawe mnachukua Viroba pale ktk kiduka cha mama Mary kisha yeye analipa bili subirini kwanza jamaa ataingia akiona siku zimekaribia ili mumnyofoe kidogo. Dizain hizi ndizo za kule Mwanza wakampaisha sana Matata oh! Jembe mara Sururu mara oh! Mpini sasa kipo wapi? Hamuwezi kuteua wagombea baada ya kupachika viroba mnaonekana wote mna hoja za kilevi!
 
act like a philosopher, don't rely on hearsay!
 
Ile thread naamini kabisa ililetwa kuchokonoa mtu anayehisiwa kuandaliwa na chama.Maadui wanatafuta target ya kulenga risasi ndio maana wakaamua kurusha jiwe hapa kupima upepo.
 
kaka usilaumu Bavicha,hiyo ni ID tu.hata mimi Yanga walinilaumu sana kwamba nimecheza chini ya kiwango walipochapwa na MNYAMA 3-1
 
Ndugu zangu, mapema leo asubuhi mmeona post ya BAVICHA-IRAMBA ikisema kuwa nimetangaza rasmi kugombea UBUNGE katika jimbo la Iramba-Magharibi. Hilo haliwezi kuwa tangazo langu rasmi kwa sababu zifuatazo:-

1. Mgombea wa nafasi kubwa na nyeti kama hiyo hawezi kusemewa na yeyote ila yeye binafsi. Hivyo basi kama nia hiyo ninayo nitatangaza rasmi mimi mwenyewe muda wakufanya hivyo ukimea (ukiwadia).

2. Jumuiya ya chama (kama ilivyo Bavicha) sio haki kumuunga mkono mwanachama yeyote ambaye hata hajaidhinishwa na chama kugombea nafasi husika. Hii inaleta picha mbaya kwa yeyote mwingine mwenye nia yakugombea nafasi husika.

3. Muda wakutangaza kugombea haujafika hivyo kufanya hayo ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya chama pamoja na kanuni zake. Napenda ieleweke kuwa mimi kama Mwanasheria na mdau wa siasa kwa muda mrefu naielewa Sheria ya usajili wa vyama vya siasa nchini, na katiba ya CHADEMA naielewa KINDAKINDAKI (“in and out”), hivyo siwezi kuikiuka kwa namna iwayo yote.

Aidha nimesikitishwa sana na Baraza hilo la vijana la CHADEMA kwakunilisha maneno na kusema uongo kuwa nilitoa matamshi hayo pale Katala Beach Hotel, jambo hili sio la kweli.

Kwa ufafanuzi tu kuhusu hili ni kwamba miezi takribani miwili kasoro iliyopita nilialikwa hotelini hapo kwa ajili ya uzinduzi wa filamu ya “SIO KOSA LANGU” iliyoigizwa na wanafunzi wa chuo cha uhasibu (T.I.A-Singida Campus).

Pale sikuongelea suala lolote la kisiasa kama nilivyoripotiwa na BAVICHA-IRAMBA zaidi yakutoa mchango wangu na kushiriki mnada wa DVD hizo.

Nawaombeni radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza, hasa wale wenzangu wenye nia ya kugombea nafasi hiyo adhimu, nawaambia msizimie moyo mapambano yangali bado. Aidha nawashukuru nyote mliofurahishwa na tangazo hilo na kunitia moyo kuwa naweza, napenda muelewe kuwa hili ni suala la muda tu, ukifika na nia ikingali basi nitawaombeni ushirikiano.

Asanteni sana.
George Kidindima,
04/02/2014.

Acha Uoga. Mbowe amesema atagombea tena Uwenyekiti. Au yeye haijui katiba ya Chadema ''Kindakindaki"? - Nimekunukuu.
 
Wenzako wataku-Lowassa!!
 
Bado upo upo kamanda eeh! Ha ha Wenzio afande na prof Jay wamechukua kadi mwaka jana, mwaka huu washatangaza nia. Sijui katiba ya chama hawaijui....
 
Kijana alijaribu kaamua kurudi nyuma. Songa mbelee.....
 
George Kiddy At least umeonesha maturity, vijana wenye njaa na wavivu wa kufikiri wapo vyama vyote na hawa ndio walimchimbia kaburi Zitto Kabwe akavimba kichwa kumbe ndio alikuwa anajimaliza mwenyewe.

Hongera sana kwa hilo na vijana tunawashauri watafute shughuri za kufanya kwenye siasa tukutane weekend au baada ya kumaliza shughuri zetu binafsi.

kwanini unapenda sana kumtaja taja muungwana zitto?
 
Last edited by a moderator:
Baraza la vichaa chadema (bavicha)-limetoa kauli juu ya vuvuzela wewe kugombea ubunge iramba,lilimnadi vuvuzela kitilya mkumbo,sasa wamehamia kwa vuvuzela wewe,itakuwa ni ajabu kiazi kama wewe kuwa mbunge iramba,labda upigiwe kura na mavuvuzela wenzio hapa mtandaoni,ambako vuvuzela mmoja wa kumfurahisha lisu mbowe msigwa na slaa anakuwa na id kumi,otherwise unapoteza mda wako tu na hizo porojo za kugombea ubunge iramba kupitia domo la gongo chadema .
 
Back
Top Bottom