Suala la elimu hapa linakujaje?, shida yangu ni kwanini tarehe haibadiliki kuanzia let say saa moja ya leo asubuhi kwa maana ya kwamba kwanini siku moja hisiusishe mchana mzima na usiku mzima?, ok mie nina nachukua MBA.Huu ulikuwa ni mjadala mrefu wa mie na wenzangu.
Udhaifu ni udhaifu tu, hata kama utapata nafasi ya kuwa mkuu wa kaya, unaowaongoza wataendelea kuteseka kwa sababu ya udhaifu wako.