Usikate tamaa niliwahi kuwa reserve sema walionitangulia wawil presha ikawa juu.....nilifanikiwa mpka huko jakata[emoji117][emoji117][emoji117] lkn sahv nishalud kuwa mkulima uraian.....
Nilichofanikisha huko j.k.t ni mke tuu tulipolud wote baada ya mkataba kuisha.....tulijipanga now lyf goes on.........