Kuhusu JKT reserve

Nipo kwenye hatua ya usahili,tumetoka ngazi ya mkoa now ni ngazi ya Jkt ule usahili wa mwisho ila mimi nipo kwenye kundi reserve! Ndio maana yangu ndugu
Mkoa gani? Au ndio wewe uliyepitishwa na yule tapeli wa singida
 
First selection & reserve wote wanachukuliwa, usiwe unauliza kila kitu kama mjinga kuna mdau kakuuliza upo wap ukimjibu ujue imekula kwako ndugu reserve.
 
Diploma kaka! Kesho ndio wanakuja jkt kufanya usahili wa mwisho tupo reserve kama 6 hivi
Kama wewe ni mzima wa Afya( presha ipo vizuri, ukimwi hauna, sukari ipo vizuri, HBV hauna na macho yako poa)....

Na kama vyeti vyote unavyo kuanzia cha kuzaliwa, shule ya msingi hadi chuo....

Ondoa shaka mkuu, umepata kabisa.
 
hizi akili za panzi we nanga,ina maana hadi Leo hujui kuwa mtembea bure si sawa na mkaa bure???kwahyo likiwa ni zali ujifungie ndani na kulala tu litakukuta au siyo???acha upang'ang'a
Achan nae
 
Kama wewe ni mzima wa Afya( presha ipo vizuri, ukimwi hauna, sukari ipo vizuri, HBV hauna na macho yako poa)....

Na kama vyeti vyote unavyo kuanzia cha kuzaliwa, shule ya msingi hadi chuo....

Ondoa shaka mkuu, umepata kabisa.
Nakubali simba✊
 
Nakubali kakaa nilijua labda hata kama reserve tupo sawa hatuna shida na wale wengine wako sawa basi nikajua wanaenda sisi tunabaki
 
Je, kama upo kwenye reserve JKT na ikaonekana walio chaguliwa hakuna mwenye kasoro wote wapo sawa nilikua napenda kufahamu je" hapo ndio mwisho wa safari yangu?

Utaenda jiandae kwenda kulima mkuu.
 
Reserve wetu diploma waliend wote na nafac zkabk na hakukuwa na unfit tshajaza fomu tnavt mda wa kwend kuripot vikocn 2 sas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…