Habari..!.
bila shaka weekend inaenda vyema mpaka wakati huu.
Wanajamvi hebu tujuzane katika hili.
Hivi ina maana sehem zote wanazotoa huduma za kuchua mwili/massage huwa kuna huduma za ziada (NGONO) wanazotowa wadada wachuuzi au.??
Mana nlishalisikia sana kama kuna huduma nyengne m'badala ipatikanayo maeneo hayo.
binafsi nimelithibitisha ila ni sehem 1 tu.
Je ndio utaratibu wa huduma zao au hyo ni mbinu mpya..!!??