Hivi ni nani anafaidka na huduma ya google adsense??
na mimi ndo nimeanza kuwa nayo toka week iliyopta kutokana na kunikubalia na nimefksha dolar zaidi ya kumi na wameniambia leo watanitumia pin number ndani ya week 2 mpaka 4,,je kwa yeyote hum ndani yy alipata kwa siku ngap au week ngapi mpaka kufka hapa Tanzania????
duuuuu week 4 dah nyngi sanaaaa hzo
nisaidieni namna ya kuadd
kuadd nn
Hivi ni nani anafaidka na huduma ya google adsense??
na mimi ndo nimeanza kuwa nayo toka week iliyopta kutokana na kunikubalia na nimefksha dolar zaidi ya kumi na wameniambia leo watanitumia pin number ndani ya week 2 mpaka 4,,je kwa yeyote hum ndani yy alipata kwa siku ngap au week ngapi mpaka kufka hapa Tanzania????
google adsense
Kuna thread moja wadau waliwahi kuchangia jinsi ya kupata adsense kwa tanzania jaribu kusearch,nilieleza njia bora kuliko zote tafuta huku huku JF kama hukupata nikuelezee upya
sio nying cha msingi ww pigana uingize mkwanja uzidi payment threshold {100usd}ili next month utoe pesa
Eleza upya mkuu maana kuipata thread humu ndani ni kaz.
kuomba adsense mbna simple tu nakuombea ndani ya masaa mawil unaanza kupiga pesa pia ntkuwekea na float adsense ambayo inaongeza mapato mara kumi so if up tayar n pm